Hivi AKIBA bank tawi la Moshi ni la Wanafunzi wa MUCCOBS tu au?

njoro

Senior Member
Dec 21, 2010
178
8
Tawi la Akiba bank la Moshi limekuwa na tabia ya kuwapendelea wanafunzi wa MUCCOBS kwa muda mrefu sasa,ofisi imeja graduates kutoka chuo hiki na hata kwenye upande wa field practical training wanafunzi kutoka vyuo vingine huwa wanaambiwa haturuhusu field students kumbe ni janja ya kuwapendelea students wa MUCCOBS. WanaJF nawasilisha
 
Kwa cfa gan ya ziada hao wanafunz wa muccobs walio nayo labda had wapendelewe?
 
Tawi la Akiba bank la Moshi limekuwa na tabia ya kuwapendelea wanafunzi wa MUCCOBS kwa muda mrefu sasa,ofisi imeja graduates kutoka chuo hiki na hata kwenye upande wa field practical training wanafunzi kutoka vyuo vingine huwa wanaambiwa haturuhusu field students kumbe ni janja ya kuwapendelea students wa MUCCOBS. WanaJF nawasilisha

kweli mkuu,miaka kama mitatu iliyopita wakati naishi bado moshi hiyo kitu ilikuwapo sana,kuna kitu kama kuunganishiana sana ila kiukweli ni kuwa waajiriwa wengi wa hapo wamemaliza Muccobs,by the way mkuu moshi si mji wa kuishi ukadhani utafanikiwa kirahisi hama haraka
njoo dar maisha yapo huku na haman mambo ya kupendeleana kijingjinga......ifwact nimezimia jina lako linanikumbusha mbali saana mkuu
 
Back
Top Bottom