Hivi Aisha Madinda yupo wapi?!

naona mchuchu kayeya!vijana tatizo mna haraka sana utadhani KIUNO CHA KWANZA
 
Masanilo hakosekani katika masuala haya, bado sijakumaliza kwa ile pic ya Tshala Muana, wee chiboko
 
Masanilo hakosekani katika masuala haya, bado sijakumaliza kwa ile pic ya Tshala Muana, wee chiboko

Kaka pole pole mimi ni mchungaji wa hawa akina Geoff, chrispin, Nguli, Fidel, Yo Yo na wafananao na hao.
 
namsubiri nyani-julius aamke aangalie mzigo huu,HASA MAENEO YA KATI HAPO.

lazima afute kauli yake.huyu mtoto mtamu bana
 
Duu atakuwa ananihesimu sana maana PM ninazo pata ni balaaa!

unaweza kuta anakushangaa tu.pengine yeye mwenyewe ndo joycelene.maanake hashindwi kuwa na aidii mbili na zaidi.again ana access zote 99
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom