Mr Kicheko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 789
- 213
Ndo manake mkuuina maaana ni free kwa mda wote huo wa saa 1?
Ndo manake mkuuina maaana ni free kwa mda wote huo wa saa 1?
Vijana wangu mnaangamia kwa kukosa maarifa!!!
Mie niliwapa 2isheni 2 ili kila mtu afanye kivyake vyake but wachangiaji waliokuja baada yangu ndio wameharibu huko chini.
Nilikuwa chimbo wadau sasa nina uzi mpya but hakuna share tena hata kwa pm no!!!!!
Pole Kwa sasa hakuna kitu kama hicho mkuu!!!habari mkuu...
samahani nilikuwa nami pia msaada wa hayo maujuzi kelvinadolfie@hotmail.com