Hivi airtel bado wanatuhurumia kwa usiku au?

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Jama hivi ile internet ya bure kuanzia saa tano bado ipo?
 
nna line kama nne iv MB 200 zikiisha nachomoa naweka nyingine kwhyo nna kama 800MB za bure
 
Vijana wangu mnaangamia kwa kukosa maarifa!!!
Mie niliwapa 2isheni 2 ili kila mtu afanye kivyake vyake but wachangiaji waliokuja baada yangu ndio wameharibu huko chini.
Nilikuwa chimbo wadau sasa nina uzi mpya but hakuna share tena hata kwa pm no!!!!!
 
Mkuu unaharibu sasa,mambo kama haya unabidi ufanye PM kunawakware wa Airtel humu watatuondolea hii service futa hii post
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom