HIV na Blood Group

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,323
18,793
Wandugu naomba kufahamishwa kwa anaefahamu kama kuna ukweli wowote kwa baadhi ya magroup ya damu huwa virus (hiv positive)haviyashambulii?
 
UKIMWI HAUNA TIBA WALA DAWA..........KATIKA UTAFITI WA KILA SIKU MAMBO YA GROUP HAYATAJWI JAPO KUNA WANAODANGANYA KUWA GROUP 'O' is less vulnerable to aids contamination........
 
group kama lipi?

O+VE, Mzee wenye hili group wanasurvive kwa muda mrefu na maradhi,

kinachoua sio UKIMWI, bali ni maradhi yanayoambatana na upungufu wa kinga mwilini sasa huyu mwenye O+ve, yuko strong sana na maradhi kwa maana hiyo anadumu muda mrefu sana na UKIMWi kwa sababu ya strongness ya immunities zake kupambana na maradhi
 
Naniliu

Generally, HIV-1 infections has no relation with blood groups, rather than blood types! Kuna aina 30 za blood grouping zinazo kubalika sasa sijui muuliza swali anataka kundi gani. The common one (ABO) grouping are are based on the presence anti A antibodies and B antibodies usually in IgM antibodies.

Although, of recent Swedish and Canadian scientists claimed risk of HIV infections are associated with presence of certain molecules in blood cells. They termed these antigens as Pk unaweza soma zaidi (Blood 2009; 113:4980–4991). Pk is a precursor for P, a glycosphingolipid or carbohydrate-containing fat-soluble molecule. Glycosphingolipids are implicated in HIV host-cell fusion. Watu wenye damu zenye Pk kwa wingi wana receptor zakutosha (CCR5)ambazo zinafavor HIV-1 virus kujiatach na kuingilia vinasaba na vikoo vya muhusika. Hii ni study moja huwezi ainisha kwa ujumla wake, cha muhimu ni kuangalia epidemiological distribution ya Pk on cells in the general population and performing HIV infection experiments to see whether there is a correlation. Tafiti hii inatoa mwanga kupredict who is more susceptible to infection, mwanzoni kulikuwa na theories nyingi ambazo nadhani ilikuwa ngumu kuhold water!

Unaweza niPM kama unahitaji unyambulifu zaidi

Masa on his way to Kyela!

NB: Kituko na Jilile79,

Mnamislead hapa tafadhali toeni evidence kusupport mnachokisema kuhusiana na blood group O. O ni universal donor ningekubaliana kuwa watu wenye group O wanaeneza HIV sana sababu wao hutoa damu kwa kundi lolote kama hakuna checking ya kutosha hasa kwetu vipimo vyetu ovyo ovyo.

No doubt wenye group O are more protected to severe malaria
 
duh!
mtani you sound like PROFESSIONAL!my wife anasumbuliwa sana na tumbo.kama ni mtaalamu niambie,namba zangu si unazo?
 
Kiongozi

Kwanini usiendeleze utamaduni wetu tiba asili, zile hazina maelezo LOL am kidding....tutawasiliana kwa undani JF noma haters wataharibu!
 
Naniliu

Generally, HIV-1 infections has no relation with blood groups, rather than blood types! Kuna aina 30 za blood grouping zinazo kubalika sasa sijui muuliza swali anataka kundi gani. The common one (ABO) grouping are are based on the presence anti A antibodies and B antibodies usually in IgM antibodies.

Although, of recent Swedish and Canadian scientists claimed risk of HIV infections are associated with presence of certain molecules in blood cells. They termed these antigens as Pk unaweza soma zaidi (Blood 2009; 113:4980–4991). Pk is a precursor for P, a glycosphingolipid or carbohydrate-containing fat-soluble molecule. Glycosphingolipids are implicated in HIV host-cell fusion. Watu wenye damu zenye Pk kwa wingi wana receptor zakutosha (CCR5)ambazo zinafavor HIV-1 virus kujiatach na kuingilia vinasaba na vikoo vya muhusika. Hii ni study moja huwezi ainisha kwa ujumla wake, cha muhimu ni kuangalia epidemiological distribution ya Pk on cells in the general population and performing HIV infection experiments to see whether there is a correlation. Tafiti hii inatoa mwanga kupredict who is more susceptible to infection, mwanzoni kulikuwa na theories nyingi ambazo nadhani ilikuwa ngumu kuhold water!

Unaweza niPM kama unahitaji unyambulifu zaidi

Masa on his way to Kyela!

NB: Kituko na Jilile79,

Mnamislead hapa tafadhali toeni evidence kusupport mnachokisema kuhusiana na blood group O. O ni universal donor ningekubaliana kuwa watu wenye group O wanaeneza HIV sana sababu wao hutoa damu kwa kundi lolote kama hakuna checking ya kutosha hasa kwetu vipimo vyetu ovyo ovyo.

No doubt wenye group O are more protected to severe malaria

kaka Masa

mimi ninachozungumzia hapa sio kwamba mwenye Group O hawezi kufa na ukimwi, ila ninachosema kama mtu mwenye mwenye O, yuko strong kwa maradhi, na kinachoua mtu mwenye UKIMWI ni maradhi (maralia, kifua nk), hivyo basi mtu mwenye blood group say A huwezi kumlinganisha na mwenye O kwenye kupambana na maradhi, kwa maana nyingine mtu mwenye UKIMWI wa group A sio sawa na mwenye UKIMWI wa group O, katika kupambana na maradhi yanayoambatana na upungufu huo wa kinga
 
ya this is the way it is...........
 
kaka Masa

mimi ninachozungumzia hapa sio kwamba mwenye Group O hawezi kufa na ukimwi

Hii ni kweli na hakuna sehemu nilipopinga hata kidogo na siwezi kuargue hivyo

ila ninachosema kama mtu mwenye mwenye O, yuko strong kwa maradhi

Si kweli kabisa hii, group O inazuia vipi muathirika asipate TB ama Pneumocystis pneumonia (PCP) na magonjwa mengine nyemelezi??? huna jibu hapa.

na kinachoua mtu mwenye UKIMWI ni maradhi (maralia, kifua nk)

Halina ubishi hili tupo pamoja!

hivyo basi mtu mwenye blood group say A huwezi kumlinganisha na mwenye O kwenye kupambana na maradhi, kwa maana nyingine mtu mwenye UKIMWI wa group A sio sawa na mwenye UKIMWI wa group O, katika kupambana na maradhi yanayoambatana na upungufu huo wa kinga

This false argument again! Sorry......Hapa unazidisha kumislead, ni malaria pekee ndo walau kwa watu wenye group O wako protected kidogo lakini pia wale wenye deficient na CR 1 wana succumb vile vile na severe malaria mfano watu wa South East Asia. Utaendelea kumislead otherwise come up with facts and scientific evidence
 
Naniliu

Generally, HIV-1 infections has no relation with blood groups, rather than blood types! Kuna aina 30 za blood grouping zinazo kubalika sasa sijui muuliza swali anataka kundi gani. The common one (ABO) grouping are are based on the presence anti A antibodies and B antibodies usually in IgM antibodies.

Although, of recent Swedish and Canadian scientists claimed risk of HIV infections are associated with presence of certain molecules in blood cells. They termed these antigens as Pk unaweza soma zaidi (Blood 2009; 113:4980–4991). Pk is a precursor for P, a glycosphingolipid or carbohydrate-containing fat-soluble molecule. Glycosphingolipids are implicated in HIV host-cell fusion. Watu wenye damu zenye Pk kwa wingi wana receptor zakutosha (CCR5)ambazo zinafavor HIV-1 virus kujiatach na kuingilia vinasaba na vikoo vya muhusika. Hii ni study moja huwezi ainisha kwa ujumla wake, cha muhimu ni kuangalia epidemiological distribution ya Pk on cells in the general population and performing HIV infection experiments to see whether there is a correlation. Tafiti hii inatoa mwanga kupredict who is more susceptible to infection, mwanzoni kulikuwa na theories nyingi ambazo nadhani ilikuwa ngumu kuhold water!

Unaweza niPM kama unahitaji unyambulifu zaidi

Masa on his way to Kyela!

NB: Kituko na Jilile79,

Mnamislead hapa tafadhali toeni evidence kusupport mnachokisema kuhusiana na blood group O. O ni universal donor ningekubaliana kuwa watu wenye group O wanaeneza HIV sana sababu wao hutoa damu kwa kundi lolote kama hakuna checking ya kutosha hasa kwetu vipimo vyetu ovyo ovyo.

No doubt wenye group O are more protected to severe malaria

Masa ukitulia unaongea point!
 
Mkuu Masanilo inaonyesha wewe ni mweledi kwenye nyanja hii,sasa tusaidie na hao couples(discordant) ambao mmoja anaukwaa mwenzie anakuwa hana,wataalam wanasemaje kuhusu hili? na vipi kuhusu watu ambao hata iwe vipi hawaambikizwi HIV(maana wapo tele hao).
 
Bishanga

Hakuna jibu lililo sahihi hapa, tuliisha wahi lijadili hili huko nyuma hapa JF. Kifupi kuna weza kuwa na sababu nyingi ambazo hazijulikani, moja wapo ni kuwa na polymorphism kwenye chemokine receptors za HIV-1 (CCR5). Unexplained genetic bacground ya couples mfano (HLA) inapelekea baadhi ya watu wana vulnerable kuliko wengine. Kuna theories nyingi, kama hiyo ya polymorphism kwenye key receptors za HIV-1 kwa individuals ama deficiency kwa baadhi ya watu. Nadhani hakuja jibu sahihi la moja kwa moja. Ngoja tuone wajuvi wengine michango yao.....!
 
UKIMWI HAUNA TIBA WALA DAWA..........KATIKA UTAFITI WA KILA SIKU MAMBO YA GROUP HAYATAJWI JAPO KUNA WANAODANGANYA KUWA GROUP 'O' is less vulnerable to aids contamination........
Group O ndio inapatikana kwa weusi wengi na weusi wengi ndio wana maambukizi zaidi...hili la blood group nalo sijawahi kulisikia tangia UKIMWI uanze.
Pili, kuna HIV 1 na 2 Moja iko prevalent zaidi Africa hasa west... isije ikawa Preta unachanganya haya mambo mawili.
 
hapo kwenye blue ndio hasa tena huwa nachanganyikiwa kabisa...kwani kuna HIV za aina ngapi kwa ujumla? na ile ya south, north na kwingine kote ziko tofauti? na kwa nini tofauti? Ningependa sana kujua hili jambo
 
Hapo hata mimi kunanipa utata, nilijaribu kutafuta majibu mwenyewe kutoka mitandaoni na maoni ya watu mitandaoni, lakini nikajikuta nina majibu mengi tofauti. Sijui lipi ni lipi? mwenye kujua wadau.

Pili kwenye hizi HRV wanajua hilo? au wanabwia madawa ya aina moja tu??
 
Back
Top Bottom