HIV AIDS - Loliondo

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,559
Sio kwamba siimini tiba ya Loliondo.

Ninaamini kama ninamojawapo ya hayo magonjwa nikipata kikombe nitapona.

Wasi wasi ni mambo yanayoendelea huku mikoani.

watu sasa wameamini tiba ya ukimwi ipo, kwahiyo hakuna kujali tena kama mwanzo.

Ngono zembe kama kawa.

Something should be done as soon as posible.

naamini kuna wahusika, you have to take a step.
 
Huu ni upunguani mkubwa....wote tunajua kuwa malaria ina tiba lakini ndio ugonjwa unaoua watu wengi zaidi hapa Tanzania kwa sasa. Na ukichunguza hata kwa malaria msisitizo mkubwa huko kwenye kuzuia kuliko kutibu, nadhani hata kwa suala la HIV/AIDS ni bora sana sana kujizuia usipate maambukizi.
 
Sio kwamba siimini tiba ya Loliondo.

Ninaamini kama ninamojawapo ya hayo magonjwa nikipata kikombe nitapona.

Wasi wasi ni mambo yanayoendelea huku mikoani.

watu sasa wameamini tiba ya ukimwi ipo, kwahiyo hakuna kujali tena kama mwanzo.

Ngono zembe kama kawa.

Something should be done as soon as posible.

naamini kuna wahusika, you have to take a step.

Hili ndilo jambo la kushughulikia. Siyo kwenye HIV/AIDS tu hata hayo magonjwa mengine watu waliopata kikombe yawapasa kuishi maisha yatakayowafanya wasirudie ugonjwa tena.Huwezi ukapata kikombe ukadhani utaenda kuishi maisha hatarishi usiugue tena! Kujiingiza kwenye ngono zembe ukitegemea kufuata kikombe ni ujinga uliokithiri.

NGOs na wadau wengine wenye kujishughulisha na uhamasishaji walione hili na watoe elimu ya kutosha.Vingenevyo tutakuja kushuhudia janga unprecedented.
 
tatizo la wabongo ni wabishi mno. mambo ya msingi huwa hawayafuatilii hata kidogo. watu wanajiachia tu kisa babu yupo. wakumbuke ana miaka 76.
 
elimu inahitajika itolewe kwa raia maana wanaamini dozi ipo na watapona wamesahau kuwa babu kasema dawa yake itaponesha wenye imani tu.
 
Natamani ningejua the right person wa kumfikishia huu ujumbe.
If anyone Can help, lets try and send this massage out. Nisingependa hili liishie hapa jamvini.
 
Back
Top Bottom