HITS Tanzania, nafasi za kazi za engineering hamna?

kipipili

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
1,590
183
hawa jamaa nimesikia wamerudi kwenye soko la telecoms, vipi hawana nafasi za ajira? maana sijasikia, au ndio wanachakachua
 
hawa jamaa nimesikia wamerudi kwenye soko la telecoms, vipi hawana nafasi za ajira? maana sijasikia, au ndio wanachakachua

Mkuu mi nilivyoanza kusoma heading nikajua unamimina hapa jukwaani nafasi za kazi walizotazitagaza Hits.
Kumbe!!
 
Back
Top Bottom