HiTS Tanzania kulikoni?

Oloronyo

Member
Mar 29, 2009
80
9
Erooo Wana JF! Nilikuwa Umasaini kwa muda,na nimerejea mjini.
Nina swali nataka uliza hii kampuni HiTS Tanzania ambayo ipo chini ya Excellentcom (T) Ltd Kulikoniiiii?:confused: Mlisema mtaanza huduma mwanzoni mwa mwaka huu 2009 kimya?:confused:Mwezi wa tano 2009 kimya?:confused: Kulikoniii? TCRA kuna lolote la kutueleza?
 
Back
Top Bottom