Hitimisho la Mjadala: Tundu Lisu aendelea kujadiliwa.

CtVKiLaZA

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
301
37
Hakuna jipya Mwanasheria Mkuu na Waziri wanarudia yale yale. Waendelea kumshambulia Lisu na CHADEMA.
 
Angalizo: Tundu anadoji vikao vya kamati.

Nadhani kuna haja ya Lisu kujibu hilo la utoro wa vikao vya Kamati kabla ya huu muswada kuletwa bungeni. Lakini pia wakuu unahitaji akili ya kijinijini kukaa na kujadiliana na mwehu, ni ngumu kweli jamani!
 
Back
Top Bottom