Historia Ya Warangi

Saljiv

Member
Feb 19, 2009
16
7
JF, naomba nipate historia ya kabila la Warangi, ambao ni wenyeji wa wilaya ya kondoa. Pamoja na mila, dasturi na tabia zao (Zinazo kubalika na zisizo kubalika na wengine)
 
JF, naomba nipate historia ya kabila la Warangi, ambao ni wenyeji wa wilaya ya kondoa. Pamoja na mila, dasturi na tabia zao (Zinazo kubalika na zisizo kubalika na wengine)

Mtafute kimbisa, zabein mhita, kova, mke wa lowassa, na uende mambo ya kale au nyang'anyi, jaji lubuva, wale wahandiri kila chuo hapa tz au uende kwa encyclopedia etc.

mjaribu na susuviri, masaka na wanaofanana na hao

ukishindwa ujue umeanza vibaya
 
Pia nanda Maktaba kuu kuna vitabu vimeandika Historia ya Warangi au tembelea Wilaya ya Kondoa,Dodoma.
 
Back
Top Bottom