Mfahamu Hussein Shekilango, aliyepewa jina la barabara jijini Dar (kuanzia Bamaga - Urafiki)

Na huku kwetu Arusha kuna hii barabra iendayo kwenye mbuga za taifa, kuna eneo linaitwa Mguu wa Zuberi tafadhali mwenye kumjua huyu Zuberi naomba atuambie alikua ni nani kwenye nchi hii
 
Na huku kwetu Arusha kuna hii barabra iendayo kwenye mbuga za taifa, kuna eneo linaitwa Mguu wa Zuberi tafadhali mwenye kumjua huyu Zuberi naomba atuambie alikua ni nani kwenye nchi hii

hata mimi nimeshawahi kusikia hizo habari za zuberi, sijui alikuwa ni nani. au ndo kwenye hiyo njia yakutokea hadi mapango ya amboni nini? nilienda amboni tukaambiwa kuna njia ya chini kwa chini kutokea arusha.
 
Nimeipenda hii thread.imenielimisha! Jf ni jungu kuu.

historia nzuri sana hii, nilikuwa sijui km huyo mzee alikuwa waziri, ila usishangae hilo jina la shekilango siku likabadilishwa maana wanasiasa wa siku hizi kwa kupenda ujiko, loooh! hata makatibu tarafa nao watapenda shule za kata ziitwe kwa majina yao.
 
Siku hizi mkuu wa wilaya au mbunge wanalazimisha miradi mbali mbali ya kimaendeleo ianzishwe kwa majina yao.
 
kwetu kuna shule inaitawa "binti musa sec. school" mitaa ya bombom dar

Mkuu kama ni ya private sio mbaya lakini km ni shule ya umma na watu wanajipachika majina yao tu ili kutafuta umaarufu wa kisiasa basi huo nao nauita ni ufisadi.
 
We mzee emu futa hyo kauli yako bwana! Barabara kubwa wazijua ama wazickia? Kama Shekilango Road 2kiita kubwa je n1 toka Cairo to Cape Town tutaihitaje? ama ni zile harufu za kitimoto,na wadada wanaojiuza toka bamaga hadi Shekilango ndo vimekufanya uiite hvo?
 
we mzee emu futa hyo kauli yako bwana!barabara kubwa wazijua ama wazickia?!,kama shekilango road 2kiita kubwa je n1 toka cairo to cape town tutaihitaje?,ama ni zile harufu za kitimoto,na wadada wanaojiuza toka bamaga hadi shekilango ndo vimekufanya uiite ivo?

Shikamoo kaka/dada. tulikuwa tunajaribu kuangalia historia ya bara bara ya shekilango, kwa kifupi ni moja ya barabara maarufu hapa jijini, hatukutaja umaarufu wake wala ukubwa wake, tunazungumzia historia ya hilo jina la shekilango na huyo mwanasiasa wa zamani mzee shekilango. nina imaini umekurupuka usingizini, anyway, siku nyingine ukitoka saloon kusuka pumzisha kichwa kidogo kabla hujafungua JF.
 
Na huku kwetu Arusha kuna hii barabra iendayo kwenye mbuga za taifa, kuna eneo linaitwa Mguu wa Zuberi tafadhali mwenye kumjua huyu Zuberi naomba atuambie alikua ni nani kwenye nchi hii
Anzisha na wewe thread yako ya kujua habari za huyo Zuberi wako,yaani hadi wenzio waulize kitu ndiyo na wewe ukumbuke, acha hakili za wana magamba kurukia kila kitu.
 
we mzee emu futa hyo kauli yako bwana!barabara kubwa wazijua ama wazickia?!,kama shekilango road 2kiita kubwa je n1 toka cairo to cape town tutaihitaje?,ama ni zile harufu za kitimoto,na wadada wanaojiuza toka bamaga hadi shekilango ndo vimekufanya uiite ivo?
Kama haujui Historia ya shekilango piga kimya, hapa jamaa halinganishi urefu wa barabara toka nchi moja hadi nyingine anaongelea barabara ya DSM-Tanzania. Hivi unadhani lazima uchangie kila thread? Think 1bil,talk once!
 
Julius Nyerere alikuwa na Upendo haswa ukingalia Hussein Shekilango alikuwa Muislam na alikuwa karibu sana na Rais; hakujali Dini ya Mtu kama watu wanavyosema hapa kwenye forum

Alikuwa Rais wa watu wote.
 
Julius Nyerere alikuwa na Upendo haswa ukingalia Hussein Shekilango alikuwa Muislam na alikuwa karibu sana na Rais; hakujali Dini ya Mtu kama watu wanavyosema hapa kwenye forum

Alikuwa Rais wa watu wote.

Unanikumbusha hotuba yake mojawapo alivyoambiwa kwenye serikali yake kajaza sana wakatoliki akashtuka ikabidi afanye uchunguzi akagundua mkatoliki ni yeye tu na waziri mwingine ambaye ameshavunja hata huo ukatoliki coz ameoa mke wa pili, yaani tangu enzi za Nyerere watu km malaria sugu walikuwepo, nafikiri ni aina ya mafunzo yatolewayo, hawa watu ni watu wa kulalamika siku zote.
 
Ukitaka kujua zaidi nenda seaview mama shekilango yupo huko..

Namfahamu Mama Shekilango. Jina lake ni Zippora. Anaishi Kinondoni, si Seaview; labda kama ana ofisi huko. Yupo mzima kabisa, ni mwanaharakati wa masuala ya jinsia. Anadunda.
 
Asante sana kwa kumpa jibu muafaka huyo mwanajamvi ambaye alitaka kupotosha watu. Napenda kuongeza yafuatayo. Wasambaa tofauti na Wapare na Wabondei wameathiriwa na lafudhi ya lugha yao. Majina ambayo kwa makabila ya Wapare na Wabondei huanza na 'SE' kwa upande wa Wasambaa majina yao huanza na 'SHE' ikimaanisha 'SON OF' au 'MWANA WA'. Maana ni hiyihiyo kwa 'SE' kwa majina ya Kipare au Kibondei yanayoanza na 'SE'!!! Kinachofanya Wasambaa waanze na 'SHE' badala ya 'SE' ni kwamba lafudhi ya lugha ya KIsambaa inafanya matamshi kama yanayoanza na 'SE' yatamkike kama SHE kwa sababu ya kuathiriwa na lugha yao ya kisambaa

Tatizo hilo lipo pia Mbeya. Jina KIBONA kwa baadhi ya makabila ya Mbeya hutamkika CHIBONA kwa sababu ya athari za lafudhi (Accent)!!! [quote="Darwin
 
Najua majina mengi ya barabara au mitaa hapa mjini Dar zinawakilisha watu fulani maarufu iwe viongozi, wanasiasa au kitu fulani. Nataka kujua hii barabara ya shekilango kuanzia junction morogoro road kuelekea sinza ni jina la mtu, kitu au eneo fulani tufahamishane kwa anayejua tafadhari..
 
Kumbe inaelekea siku za nyuma mpaka sehemu, barabara, jengo kupewa jina la mtu kulikuwa na maana kwa kujitolea kwa ajili ya taifa. Je, hii inafanyika hivyo siku hizi?
 
Back
Top Bottom