Mmanu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2015
- 1,680
- 907
Kuiga uharifu mkuu?Uyo jamaa ni wakuigwa kwel!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuiga uharifu mkuu?Uyo jamaa ni wakuigwa kwel!
Ingekuwa hapa bongo angeiba mpaka umuri km wa mzee majuto bila kushikwaHapo ndivyo mifumo ya dunia inapokuwa imara kwa kupata changamoto mbalimbali hasa za hali ya juu.. wakati unatengeneza mfumo wengine wanaangalia udhaifu uliopo ktk mfumo
Hahahahaha ukaona file znasoma errors kwny brainUlipokua unachelewa kuleta update nikasema ngoja nizame Wikipedia mwenyewe kitu gan kwan,
lkn daa ile lugha ya malkia c rafiki kabisa
1. Kumbuka alikuwa anatafiti na kufanya matukio kwenye bank ndogo na zilizoko nje ya mji kwenye miji midogo.. That means hata ulinzi unakuwa mdogo and bank nyingi za marekani mlinzi/polisi anakaa ndani ya bank.. So that means mfano akishaingia ndani anawapiga 'telo' (handsup/lay down) this includes mlinzi mwenyewe.. And wenzetu wamestaarabika mlinzi/polisi hafyatui risasi kwa haraka/urahisi ili kuepusha watu kudhulika au kupoteza maisha kutokana na majibizano ya silaha..Koote nimesoma, ila nina madukuduku mawili.
1. Hizo bank hazikuwa na walinzi.? If yes alikuwa anakabiliana nao vipi ndani ya dakika 2 (je alikuwa anawaua ama.?)
2. Kiasi cha pesa alichokuwa akiiba.