Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

Status
Not open for further replies.

Djumbe

Member
Apr 8, 2011
39
62
Jina sahihi la huyu mwigizaji ni lipi? Mwigulu Nchemba ni jina la kisukuma na yeye ni mnyiramba au hilo ndio jina la kisanii ndo maana usanii mtupu kila sehemu... mimi namsihi arudie jina lake halisi la Lameck Mkumbo kama anataka kutumikia jamii na sio usanii huu anaotufanyia...
Lameck Mkumbo Madelu ni jina halisi la mh Mwigulu Nchemba.

Akiwa anasoma shule ya msingi Makunda kata ya Kyengege tarafa ya Kinampanda wilaya ya Iramba mkoa wa Singida, Mh Lameck Mkumbo Madelu alifeli mtihani wa taifa darasa la saba, baada ya kufeli huko akawa anatafuta njia ya kurudia.

Kwa bahati nzuri kulikuwa na darasa la kata la kata ya Kyengege lililokuwa linajumuisha shule za Makunda, Mgundu na Kyengege yenyewe. Kutokana na kuwepo darasa hilo la kata ikawa kuna nafasi kwani mwanafunzi Mwigulu Nchemba (msukuma) alikuwa ameacha shule akiwa darasa la sita kwani mwinuko wa kielimu kwa wasukuma ulikuwa chini sana wakati huo. Ndipo Mwl Malumbi alipoweza kumuuzia jina la Mwigulu Nchemba bwana Lameck Mkumbo Madelu.

Baada ya kurudia masomo bwana Lameck alifaulu kwa kutumia jina la Mwigulu Nchemba lakini baadae akiwa Secondari aliliongeza likawa Mwigulu Lameck Nchemba

Source: Admission books
1. Makunda Primary School
2. Darasa la kata Kyengege
3. Ilboru secondary
4. Wakazi wa Makunda
 
mbisi zi mpipa luta teka hein ! , hehehehein?
malafu ma mpipa luta teka hein !, hehehehein?
mimpuka mi mpipa luta teka hein !, hehehehein?
suni mi bantu luta mina hein!, hehehehein?
makasu ma mpipa luta caba hein !, hehehehein?
yema mpudisi ma mpipa mame !, heheheheinhehehehein?
 
ULYAMPITI=KULA FISI...hiki ni kijiji kule kwa akina lameck mkumbo aliyeiba jina la mtu na kujiita nchemba mwigulu..usalama wa taifa kamata ccm mwenzenu huyu
 
Baba mzazi wa mwigulu hatimaye apatikana kupitia JF naona anataka kuthibitisha jina la mwanae .... anaitwa DJUMBE.
 
mbisi zi mpipa luta teka hein ! , hehehehein?
malafu ma mpipa luta teka hein !, hehehehein?
mimpuka mi mpipa luta teka hein !, hehehehein?
suni mi bantu luta mina hein!, hehehehein?
makasu ma mpipa luta caba hein !, hehehehein?
yema mpudisi ma mpipa mame !, heheheheinhehehehein?

kama sikosei huu ni wimbo kwa lugha ya singida na tafsiri yake ni kamata mwizi meeeen
 
Jina sahihi la huyu mwigizaji ni lipi? Mwigulu Nchemba ni jina la kisukuma na yeye ni mnyiramba au hilo ndio jina la kisanii ndo maana usanii mtupu kila sehemu... mimi namsihi arudie jina lake halisi la Lameck Mkumbo kama anataka kutumikia jamii na sio usanii huu anaotufanyia...

Sisi ni nani kumchagulia jina lameck Nchemba; anajua mwenyewe kwa nini anaitwa hivi na wala sio vile? wengine ni marepeater huko shuleni na wengine ni wakimbizi au wahamiaji; na wengine hubadili majina kwa sababu za kuoa au kuolea!! kuna sabau nyingi za mtu kubadilisha jina au dini na kabila kutegemea mazingira yanayomsibu muhusika. Afterall what is in a name!?

Faru wa JK kule serengeti aliyehujumiwa alikuwa anaitwa George, kuna ndege anaitwa secretary nk. nk.... tusimpe umaarufu asiostahili huyu lameck, tunakuza jina lake pasipo sababu wakati wengi tunajua he is only being used as an attack dog serving his masters. Mwigulu kama Mwigulu has no Vision nor mission of his own; simply ignore him with the contempt he deserves. period
 
Mama Porojo usinichokonoe kwa porojo zake, nitakutolea uvivu.

CIA walikuwa wanamfahamu Osama bi Laden in and out, je CIA walikuwa wajomba zake Osama?

Yaani kwa akili zako unafikiri kumfahamu mtu basi lazima uwe mjomba wake? Kweli wewe ni mmojawapo unayefikiri kwa kutumia kile kiungo alichokitaja Didas Masaburi na inaelekea hicho kiungo chako ni KIKUBWA!
 
SUBIRINI KWANZA........MHHHHHH.... aLITUMIA JINA LA MTU KUSOMEA? MHH ni wale wanaotupa matatizo kutengeneza vitambulisho vya taifa kwa kuwa tunakuta majina mawili yamefanana baba mmoja miaka sawa hospitali waliozaliwa ni moja jina la mama mzazi ni moja. Miaka miezi misiku na misaa waliozaliwa ni moja...

Nilishasikia walimu wengi wamefutiwa vyeti vyao kwa kutumia majina ya watu ingawaji walikuwa na first class au kwa wabunge hii haina neno?
 
Jina sahihi la huyu mwigizaji ni lipi? Mwigulu Nchemba ni jina la kisukuma na yeye ni mnyiramba au hilo ndio jina la kisanii ndo maana usanii mtupu kila sehemu... mimi namsihi arudie jina lake halisi la Lameck Mkumbo kama anataka kutumikia jamii na sio usanii huu anaotufanyia...
Enzi zetu zile za Mwalimu majina kama haya yalikuwapo tele, tuliyaita majina ya "Makweta" kutokana na Jackson Makweta aliyekuwa waziri wa elimu enzi hizo.

Kulikuwa na wakristo wenye majina yote ya kiislam kama wazanzibari, nakumbuka kuna mwenyekiti wa Ukwata alikuwa anaitwa Hussein Ramadhani Ally, mimi nilisoma na Prosper Valentin (mwislamu huyu) halafu kulikuwa na wachagga kibao wenye majina ya kiiraqw.

Nafikiri kama huyo mwenye jina lake halisi hajalalamika, tuiache hii ishu kama ilivyo maana ina historia ndefu ambayo kama haijaathiri kitu hakuna sababu ya kuichokonoa.
 
anaitwa mwigulu slaa mbowe nchemba, kuna mzazi hapa anataka kusema alimwita jina gani, kuna majina ya ukoo, ya urithi, ya utajiri, ya msimu, ya rafiki, ya kiongozi, ya dini, ya mganga nk
 
Jina sahihi la huyu mwigizaji ni lipi? Mwigulu Nchemba ni jina la kisukuma na yeye ni mnyiramba au hilo ndio jina la kisanii ndo maana usanii mtupu kila sehemu... mimi namsihi arudie jina lake halisi la Lameck Mkumbo kama anataka kutumikia jamii na sio usanii huu anaotufanyia...

Are you serious kwamba jamaa haya majina si yake ? Wacha tuone kama ataomba mwongozo wa spika juu ya JF na kusema ukweli huu .Sikuamini kama ni msomi ila niliamini kwamba ni mtu wa kukariri
 
siyo tu kirepeat anaweza kuwa alimnunua aliyefaulu darasa la saba akaenda kusomea jina la mwigulu, ndomaana taaluma yake ya uchumi haimsaidii kutoa michango yenye tija bungeni zaidi ya kuropoka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom