Historia ya Inspekta mkuu wa polisi (IGP) tokea tupate Uhuru

Anzisheni ya WAJESHI as well maana nako kuna harufu isyo nzuri hata kidogo
 
Mimi kwa uelewa wangu mdogo wa hili jeshi letu ni kama hivi
then Samson Pandugu (1973-1975 ) huyu sina taarifa zake nyingi ila inasemekana katika ma IGP waliotoka wakiwa masikini wa kutupwa huyu ni mmoja wapo.

Niko open kwa masahihisho, nimejaribu kuweka historia kadri ninavyoifahamu mimi, aidha kwa masimulizi au kutokana na kusoma sehemu mbalimbali
.
Mkuu Gobore, kwanza asante kwa kuwa open kwa masahihisho, jina halisi ni Samweli Pundugu kwa mujibu wa Mkuu Mbu!, na sio Samson Pundugu!.
I salute IGP's wetu wazalendo, ambao kwa namna moja au nyingine walidumisha AMANI na utulivu nchini... Enzi hizo raia hana 'ushikaji' bure bure tu na IGP...
View attachment 2251
1973-1976 Samwel Pundugu.

Ila pia hujakosea sana!, Pundugu alikuwa na watoto 4, kati ya hao wasichana ni watatu, wawili kati yao wakiwa ni twins, na mvulana ni mmoja na ndie aliyeitwa Samson!. Baada ya kustaafu aliishi zile flats za THB eneo la Drive In, enzi hizo!

Pasco
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Sijakuelewa ebu fafanua maana wengine tumezaliwa juzi hatuyajui kumbe irresponsibility olikuwepo kitambo duuu ok ngoja tuone hawamu ya 5 kama nimbio zavijito tusngalie uelekeo
 
Japikuwa siyajui majeshi sina uhakika kama polisi na magereza kuna mj gen

acha uvivu,soma kuanzia page ya kwanza utaelewa.waziri wa mambo ya ndani ndiyo alikuwa mwanajeshi.wanajeshi wanatumika mpaka leo kushika nafasi za kisiasa hasa ukuu wa mikoa na wilaya.
 
ukwelikitugani,

..kwanza inabidi uwajue wakuu wa polisi tangu tupate uhuru.

..niliwahi kupitia website ya jeshi la polisi ambapo niliona taarifa za ma-IGP na miaka waliyotumikia.

..kwa kumbukumbu zangu wakuu wa Polisi ni hawa wafuatao: Elengwa Shaidi, Hamza Aziz, Samwel Pundugu, Philemon Mgaya, Solomon Liani, Harun Mahundi, Omar Mahita, na Said Mwema.

..Hamza Aziz alikuwa na kesi ya kukanyaga mtu na gari. sina details zaidi za kesi yake lakini inasemekana iliisha kiajabu-ajabu na baadaye Mwalimu akampeleka ubalozini USA.

..Philemon Mgaya alistaafishwa na Mwalimu Nyerere kwa manufaa ya umma. Miaka hiyo that was all the information that was given to the public. Nategemea watajitokeza wachangiaji kueleza ni nini kilisababisha Philemon Mgaya akastafishwa kwa manufaa ya umma.

kwa kumbukumbu zangu wakuu wa Polisi ni hawa wafuatao:
1.Elengwa Shaidi,
2. Hamza Aziz,
3. Samwel Pundugu,
4. Philemon Mgaya,
5. Solomon Liani,
6. Harun Mahundi,
7. Omar Mahita,
8. Said Mwema.
9. Ernest Mangu
10. Simon Nyakoro Sirro-anaendelea hadi sasa.
 
VIONGOZI WA JESHI LA POLISI WAKATI WA UKOLONI HADI UHURU.
1916 – 1920 Major S.T. Davis.
1920 – 1929 E.F. Brown.
1929 – 1933 G.H. Kiram.
1933 – 1942 F.A.B. Nicholl
1942 – 1949 E.B. Birthray.
1949 – 1951 W.A. Muller.
1951 – 1958 R.E. Fouler.
1958 – 1962 G.S. Wilson.
1962 – 1964 E.N. Shaidi.

INSPEKTA JENERALI WA POLISI TANGU MUUNGANO HADI LEO.

Elangwa-Shahidi1962-1972.jpg

1964 – 1970
Elangwa N. Shaidi

Hamza-Aziz1972-1973.jpg

1970 – 1973
Shaidi Hamza Azizi.

S.H-Pundugu1973-1975.jpg

7/8/1973 – Aug 1975
Samweli H. Pundugu.

Philemon-Mgaya1975-1980.jpg

8/8/1975 – Nov 1980
Philemon N. Mgaya.

Solomon-Liani1980-1984.jpg

2/11/1980 – 30/11/1984
Solomoni Liani.

Haruni-Mahundi1984-1995.jpg

1/12/1984 – 3/5/1996
Harun G. Mahundi.

Omary-I.jpg

4/5/1996 – 2/3/2006
Omar I. Mahita.

Said-A.-Mwema2006-Current.jpg

3/3/2006 - 30/12/2013
Saidi A. Mwema.

IGP_Mangu.jpg

01/01/2014-29/05/2017
Ernest J. Mangu

SIMON_SIRRO-IGP.JPG

29/05/2017-Hadi Sasa
Simon Nyakoro Siro
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom