..RIP Lt.Gen.Silas Mayunga "kamanda mti mkavu."
..inasikitisha kwamba makamanda walioongoza vita vya Kagera wengi wameaga dunia.
..ambao wamefariki ni hawa: Brig.Ahmed Kitete, Brig.Yussuf Himidi, Maj.Gen John Walden "black mamba", Maj.Gen.Marco Mwita Marwa, Maj.Gen.James Luhanga, na Lt.Gen.Imran Kombe.

TANGULIA NA MHOLA YA SEBHA.Umeacha historia njema.RIP Mayunga, Mkuu nahisi hapo kwenye Red una refer the triangle among Luteni Maganga RIP, Pius Rugangira(uncle Tom) na Maj. Gen Mayunga.

TANGULIA NA MHOLA YA SEBHA.Umeacha historia njema.

Aliwahi kuwa mkuu wa mkoa, kama sikosei musoma au shinyanga, wakati kiweru yuko kagera

Kwani Shimbo yuko hai bado ? Maana nilisikia amezidiwa S.A

RIP MAYUNGA.
Ilala Amana Alihahamishiwa Kwa Muda Ili Nyumba Yake Ijengwe Baada ya Kuungua kwa Moto kama miaka miwili iliyopitana Serikali lakini Hadi Leo Hii Haijajengwa Sijui Itakuwaje Familia yake nahofu wanaweza sumbuliwa au wakajahamishiwa kule kunako kibao Karibu Dar Es Salaam.

Poleni wafiwa
Tujulishane msiba upo wapi/nyumbani kwake wapi?
Nafikiri Mayunga na Kiwelu walipandishwa na kuwa Four Star Generals (correct me if i'm wrong).................dah...... RIP Gen Mayunga