Historia ya Hayati Luteni Jenerali Silas Mayunga, Mti Mkavu (1940-2011)

alikuwa mwanajeshi mzuri lakini diplomasia ilimshinda, wakati yupo Nigeria alikuwa mkorofi huyu

all in all keshatangulia mbele ya haki na si vyema kuanza kumkandia now

tusubiri 40 ipite ndio taunze na legacy yake maana sie watanzania ni watu wa MUHALI sasa utakuja ambiwa ohh unachafua hali kwa kuwa na mawazo tofauti
 
Mtu ni askari wa damu, diplomasia wapi na wapi? Tueleze maana only truth will set us free
 
alikuwa mwanajeshi mzuri lakini diplomasia ilimshinda, wakati yupo Nigeria alikuwa mkorofi huyu

all in all keshatangulia mbele ya haki na si vyema kuanza kumkandia now

tusubiri 40 ipite ndio taunze na legacy yake maana sie watanzania ni watu wa MUHALI sasa utakuja ambiwa ohh unachafua hali kwa kuwa na mawazo tofauti

Mkuu hiyo ndiyo hali halisi!! Mwanajeshi hasa General ni mtu wa amri anatoa amri unafanya kuuliza baadaye. Sasa unapompeleka kwenye diplomasia unategemea nini? Diplomasia nikubembelezana na mambo ya lobbying wakati jeshini ni amri!! Usije ukamlinganisha tu na Powell!
 
Ninawakubuka makamanda wa vita ya Uganda waliopigana kishujaa, nitawataja wachache ninaowakumbuka

1: Gen. David Musuguri: code named Commander "Mutukura"
2: Gen. Abdallah Twalipo (RIP): code named Commander "Chakaza"
3: Maj. Gen. John Warden (RIP:) code named Commander "Black Mamba"
4: Maj. Gen. Mwita Marwa (RIP): code named Commander "Kambale"
5: Maj. Gen. Silas Mayunga (RIP): code named Commander "Mti mkavu"
5: Maj. Gen. Muhidin Kimario: code named Commander "........"
6: Maj. Gen. Tumainieli Kiwelu: code named Commander "......."
7: Maj. Gen. Herman Lupogo: code named Commander "......"

n.k.

Wako wengi, ila nimewasahau. Mnaowakumbuka wengine endelezeni. Kuna kitabu kiliandikwa na Prof. Mhina (?), nitakitafuta ili kutengeneza kumbukumbu ya kielectroniki.
 
alikuwa mwanajeshi mzuri lakini diplomasia ilimshinda, wakati yupo Nigeria alikuwa mkorofi huyu

all in all keshatangulia mbele ya haki na si vyema kuanza kumkandia now

tusubiri 40 ipite ndio taunze na legacy yake maana sie watanzania ni watu wa MUHALI sasa utakuja ambiwa ohh unachafua hali kwa kuwa na mawazo tofauti

Yaani huyo ndie baba wa ufisadi,RA,RL,CHENGE,RICKY COSTA MAHALU wote wanafunzi wake,ndie alienzisha mtindo wa kukwapua.alipokua balozi Nigeria,alikula hela yote ya Ubalozi,alipoulizwa akasema ndio nimekula....wakati sie tunakomboa nchi nyie mlikua mnakunywa mvinyo tu..ole wenu mniguse!Mkapa kuambiwa hivyo kamrudisha nyumbani kimya kimya
 
Hawa waadilifu wanatangulia mbele kwa heshima jeshi letu limebaki na watu wasioaminika hata vita ikija sasa hatuwezi kushinda maana hao wapiganishaji wanawaza dili tu...R.I.P GEN
 
Ninawakubuka makamanda wa vita ya Uganda waliopigana kishujaa, nitawataja wachache ninaowakumbuka

1: Gen. David Musuguri: code named Commander "Mutukura"
2: Gen. Abdallah Twalipo (RIP): code named ....
3: Maj. Gen. John Warden (RIP:) code named Commander "Black Mamba"
4: Maj. Gen. Mwita Marwa (RIP): code named Commander "Kambale"
5: Maj. Gen. Silas Mayunga (RIP): code named Commander "Mti mkavu"-FISADI UBALOZINI NIGERIA
5: Maj. Gen. Muhidin Kimario: code named Commander "Kambale"-FISADI KAUA CDA DODOMA
6: Maj. Gen. Tumainieli Kiwelu: code named Commander "......."
7: Maj. Gen. Herman Lupogo: code named Commander "......"FISADI TACAIDS

Wako wengi, ila nimewasahau. Mnaowakumbuka wengine endelezeni. Kuna kitabu kiliandikwa na Prof. Mhina (?), nitakitafuta ili kutengeneza kumbukumbu ya kielectroniki.

Ufisadi hauna itikadi wala ukakamavu,jamaa walikomboa nchi,walipopewa nafasi nyingine tu wakaharibu.
 
Yeah Mwanajeshi Enzi ya Mwl. Nyerere ni Mwanajeshi na alisaidia sana Vita ya Kagera, sio sasa hivi Kina Lt. General A. Shimbo; kujali matumbo sio kufanya kazi ...

LONG LIVE General Mayunga!!!
 
Yaani huyo ndie baba wa ufisadi,RA,RL,CHENGE,RICKY COSTA MAHALU wote wanafunzi wake,ndie alienzisha mtindo wa kukwapua.alipokua balozi Nigeria,alikula hela yote ya Ubalozi,alipoulizwa akasema ndio nimekula....wakati sie tunakomboa nchi nyie mlikua mnakunywa mvinyo tu..ole wenu mniguse!Mkapa kuambiwa hivyo kamrudisha nyumbani kimya kimya

Kama alisema hivyo nampongeza. Walipigana vita ngumu wakiwa na hali ngumu wakashinda (sijui kama vita ilikuwa halali ama la) huku wanasiasa wakiwa wanakunywa mvinyo. Sasa yeye akae tu awaangalie wao wanaendelea kunywa mvinyo wakati na yeye amepewa nafasi ya kunywa mvinyo!! Safi sana ndiyo ya Ukimwaga mboga namwaga ugali!!
 
Ufisadi hauna itikadi wala ukakamavu,jamaa walikomboa nchi,walipopewa nafasi nyingine tu wakaharibu.

Wale ni wanajeshi wangeachwa huko huko jeshini sasa haya mambo ya kuchanganya siasa na jeshi nadhani wenyewe mnayaona yanavyotukost. Mwanajeshi awe mwanajeshi basi akae Barracks aletewe nyama ale, aletewe dry ration ale, apewe bia isyo na kodi anywe, afanye usafi ama route match na siyo kupiga siasa kwenye majukwaa ama kuwa Balozi!
 
Du! mti ulikuwa mkavu ule lakini umetangulia. Alazwe mahali pema peponi.
 
RIP Maj. Gen. Peter Silas Mayunga aka Mti Mkavu
Tanzania itakukumbuka daima kwa kazi ngumu mlizofanya
 
Profesa Mwandosya alipata nafasi kuwatembelea wa Tanzania waliolazwa katika hospitali ya Apollo, New Delhi. Hapa anasalimiana na Meja Generali (Msitaafu) Silas Mayunga View attachment 34942

Mkuu marehemu mti mkavu alikuwa ni Lt. General na si Major General, baada ya kustaafu alipandishwa cheo kutoka Major Gen. kuwa Lt. General na ni Lt. Gen. Mayunga pekee ambaye alikuwa na cheo cha Lt. Gen. bila kuwa MKUU WA MAJESHI kwa kuwa historia inaonyesha ma Lt. Gen wote walikuja kuwa Wakuu wa Majeshi au Wanadhimu Wakuu wa Majeshi.
 
RIP Gen. Mayunga. Ulipotea ama kupotezwa kabisa kwenye masikio yetu baada ya yale ya mwaka 1982-83. Kwa vyovyote vile, uliyofanya kwa uadilifuyatasimama na kukulinda daima kama mtu uliye na mchango positive kwa Taifa letu.
RIP Mayunga, Mkuu nahisi hapo kwenye Red una refer the triangle among Luteni Maganga RIP, Pius Rugangira(uncle Tom) na Maj. Gen Mayunga.
 
Back
Top Bottom