Historia ya baada ya Uhuru Tanzania iko vipi?

Mkuu..kutembeza bakuli siyo tatizo la tz tu. Kama alivyosema Richard Dowden ( Kitabu chake kiitwacho Africa - Altered States, Ordinary miracles) the parternal r/ship between African rulers and former colonial powers is one of the most poisonous legacies of colonialism.Hakuna former colony lisilotembeza kopo - may be some are more aggressive kuliko wengine.Kujifaragua na kujifanya tunaondokana na ukoloni mamboleo halafu hapohapo tunaendeleza kupokea misaada hatuwezi tutabaki appendages milele.

VC:

Kwa sababu Uganda, Rwanda na Burundi wako kwenye misaada, basi Tanzania isione aibu kuomba misaada?

Summary uliyotoa hapo inaonyesha tumefikia kipindi tumeifanya misaada kuwa entitlements.

Ukweli wa mambo misaada mingi ina negative impacts katika economic growth.
 
Hukunielewa Mkuu!
Hii ni sumu ambayo imeenea na haitaki kutoka.

Mimi siku za nyuma nimeshawahi kuuliza weee lakini wapi, jibu sipati! Hii misaada tunayosaidiwa imetusaidia kivipi? Kama bado tuna wagonjwa wanaolala chini kwenye sakafu mahospitalini. Kama tuna wanafunzi wanaosomea kwenye miti ya miembe na mibuyu, hii misaasa huwaga inatolewa kusaidia nini?

Na bila misaada nini kitatokea? Tutaangamia?
 
Julius,
Kazi ndogo sana kupata jibu.. wee chukua Kapu kajaribu kulijaza maji kisha utaelewa kwa nini misaada hiyo haitufai..Na je? bila maji ya msaada tutaweza kuishi ni mlolongo wa maswali juu ya maswali wakati Utata upo wazi kabisa.
 
Mimi siku za nyuma nimeshawahi kuuliza weee lakini wapi, jibu sipati! Hii misaada tunayosaidiwa imetusaidia kivipi? Kama bado tuna wagonjwa wanaolala chini kwenye sakafu mahospitalini. Kama tuna wanafunzi wanaosomea kwenye miti ya miembe na mibuyu, hii misaasa huwaga inatolewa kusaidia nini?

Na bila misaada nini kitatokea? Tutaangamia?

Kwa upande wangu misaada haisaidii (period). Na wasipotoa misaada, watu watadunda tu.
 
Hukunielewa Mkuu!
Hii ni sumu ambayo imeenea na haitaki kutoka.

Tuko pamoja. Na ndio maana kiongozi mkubwa wa Marekani akitembelea Kenya bila kukanyaga Tanzania, basi watanzania wanalalamika. Na asipoenda Kenya na kuja Tanzania, waKenya wananuna. Ni kama vile watoto kwenye Chrismas Tree.
 
Kwa upande wangu misaada haisaidii (period). Na wasipotoa misaada, watu watadunda tu.

That's my attitude as well. And if it were up to me, I'd say to hell with misaada. We gonna do us and we gon' make it.
 
Mitanzania excuses kibao ndio maana tunapenda misaada Eti business modeli ya JF hailucompel kupay! Sasa na Waheshimiwa wakisema governance modeli ya Benki ya Dunia na Fuko la Kimataifa la Fedha haiwacompel wasiombe misaada mtawalaumu!
 
Listen Sir, my yahoo and hotmail email accounts are over 15 years old and I haven't paid a dime. Tell me Sir, why should I pay here?
 
Listen Sir, my yahoo and hotmail email accounts are over 15 years old and I haven't paid a dime. Tell me Sir, why should I pay here?

Sir, take it easy, I am only illustrating how deep this begging mindset is entrenched!
 
Hivyo kuhusu michango ya kihistoria, wakina Companero wana-invent tu lakini hakuna cha maana zaidi ya kuchapana virugu.

Kuchapana virungu nako ni historia - ni harakati za mapambano ya kitabaka ya kuleta demokrasia. Rejea bandiko hili nililowahi kuliweka zamani:

Thus, when reviewing the ten Years of the Arusha Declaration, Nyerere said: “We have reached a stage where our greatest danger is a new one. The thing which could now most undermine our socialist development would be failure in the battle against corruption, against theft and loss of public money and goods and other abuses of public office….” Since early 1970s, workers and other sections of the society had attempted to check these abuses, but the government defeated them. The attempts were a consequence of the introduction of Party Guidelines (Mwongozo) in February 1971, a radical document which claimed to empower the people. There were 31 strikes and lock-outs from February to September in the same year. These were supposedly illegal strikes, since they were not sanctioned by NUTA General Council. These strikes were directed against corruption, commandism and abuses of the managers and bureaucrats. These abuses included the life styles and eating habits of those in management, grand parties, unnecessary trips and other extravagances. For the first time in the history of Tanzania, these were strikes that were not concerned with pay or remuneration. These strikes continued in 1972 and they were becoming almost a movement by 1973 when the government crushed a strike at the Sungura Textile Mill by dismissing workers. The climax of these strikes was between May and July 1973. This was when the 900 workers of the British-American Tobacco (which was 51% government owned) locked out the personnel manager. The case was taken to the Permanent Labour Tribunal, where the officer was accused of “wasting company resources, and of favouring his tribesmen.”
 
Kuchapana virungu nako ni historia - ni harakati za mapambano ya kitabaka ya kuleta demokrasia. Rejea bandiko hili nililowahi kuliweka zamani:

Thus, when reviewing the ten Years of the Arusha Declaration, Nyerere said: "We have reached a stage where our greatest danger is a new one. The thing which could now most undermine our socialist development would be failure in the battle against corruption, against theft and loss of public money and goods and other abuses of public office…." Since early 1970s, workers and other sections of the society had attempted to check these abuses, but the government defeated them. The attempts were a consequence of the introduction of Party Guidelines (Mwongozo) in February 1971, a radical document which claimed to empower the people. There were 31 strikes and lock-outs from February to September in the same year. These were supposedly illegal strikes, since they were not sanctioned by NUTA General Council. These strikes were directed against corruption, commandism and abuses of the managers and bureaucrats. These abuses included the life styles and eating habits of those in management, grand parties, unnecessary trips and other extravagances. For the first time in the history of Tanzania, these were strikes that were not concerned with pay or remuneration. These strikes continued in 1972 and they were becoming almost a movement by 1973 when the government crushed a strike at the Sungura Textile Mill by dismissing workers. The climax of these strikes was between May and July 1973. This was when the 900 workers of the British-American Tobacco (which was 51% government owned) locked out the personnel manager. The case was taken to the Permanent Labour Tribunal, where the officer was accused of "wasting company resources, and of favouring his tribesmen."

Kama Government ya wakati hule ya kipenzi wetu Nyerere isingekuwa inazima maandamano ya wafanyakazi na wanafunzi kwa kutumia vitisho, nchi ingekuwa mbali.

Liberty and freedom of expression are things that were missing during 70s and 80s.
 
Zakumi,
Wakati wa mwalimu maandamano yalokuwa yakizimwa ni ya wanafunzi kukataa kula maharage, sana sana mambo mengi yalihusu menu za msosi, JKT, gwaride, kupinga uchaguzi wa mwenyekiti wa wananfunzi na kadhalika..
Nitasema kwamba Kizazi hiki mnaleta changamoto zaidi ktk mambo ya Kisiasa na Kiuchumi kuliko enzi za mwalimu kwa sababu wengi wetu hatukuwa na exposure isipokuwa tulijengwa imani zaidi kama vile waumini wa dini. Hatuweza kuyaweka mawazo tofauti ktk majaribisho.
Kwa lugha fupi, We lived and Believe in cookbooks..
 
Sir, take it easy, I am only illustrating how deep this begging mindset is entrenched!

For sure, the begging mindset has pervaded every facet of our lives. JF hasn't been spared.

Ahsantee.gif

Thank you for supporting JF! <-----(click if you wanna support us)
Waliochangia 2009:
(click to read)
JINSI YA KUCHANGIA JF (click to read)
coffee.gif
 
Wakati Za10 naCompanero wakijadili politics of begging,
hebu turudi nyuma kidogo tukumbushane kuhusu waliowahi kushika madaraka TZ
1. Balozi Tatu Nuru (RIP)- aliwahi kuwa balozi
2. Mama Mary Chipungahela ( popularly known as Mary Chips)- aliwahi kuwa Mkuu wa mkoa wa Dsm, balozi Ufaransa
3. Judge Julie Manning - Jaji wa kwanza mwanamke Tanzania, balozi Canada
4.Tabitha Siwale - Mbunge, Waziri
5.............endelezeni list
 
Zakumi,
Wakati wa mwalimu maandamano yalokuwa yakizimwa ni ya wanafunzi kukataa kula maharage, sana sana mambo mengi yalihusu menu za msosi, JKT, gwaride, kupinga uchaguzi wa mwenyekiti wa wananfunzi na kadhalika..
Nitasema kwamba Kizazi hiki mnaleta changamoto zaidi ktk mambo ya Kisiasa na Kiuchumi kuliko enzi za mwalimu kwa sababu wengi wetu hatukuwa na exposure isipokuwa tulijengwa imani zaidi kama vile waumini wa dini. Hatuweza kuyaweka mawazo tofauti ktk majaribisho.
Kwa lugha fupi, We lived and Believe in cookbooks..

Mkandara:

Unayosema yana ukweli ndani yake. Baada ya kupata nafasi ya kwenda kusoma boarding. Mzee aliniita na kuniambia kuwa ukifika shuleni vumilia tu na ukifukuzwa shule kwa ajiri ya migomo basi hatakuwa na muda wa kunisomesha na kunirudisha kijijini. Nilipofika shule chakula kibovu na hakuna aliyejaribu kulalamika kwa sababu migomo ilikuwa ni marufuku.

Baada ya kumaliza shule za kibongo nikapata nafasi ya kusoma nje. Mzee akaniita tena. Akasema usijiingize kwenye mambo ya siasa.

Kwa bahati nchi niliyokwenda uhuru wa kujieleza upo. Kwanza ni sheria ya nchi kwa askari kutoingia kwenye ardhi ya shule kikazi bila ya ruhusa. Kwenye ardhi ya shule mtu yoyote aliruhusiwa kusema kitu chochote. Kwa mfano, waziri mkuu alitembelea shule, basi mwanafunzi mmoja akanyanyua bendera ya nchi na kumwambia waziri mkuu F@ck You. Na mwanafunzi hakufanyiziwa.

Na chakula cha wanafunzi kilikuwa ni menu hilehile ambayo watu wanakula mitaani. Kama watu mitaani wanakula ugali na maharage kila siku, basi hiyo ndio menu ya shuleni. Hivyo wanafunzi na maProfesa walitumia menu za chakula zilezile na walitumia vyoo vilevile. Hii ilikuwa tofauti kabisa na shule nilizosoma bongo ambazo waalimu na wanafunzi wana cantini na vyoo tofauti.

Kwa kuunganisha na mada hii ya historia ya nchi, wanafunzi wa Tanzania hawafundishwi kuwa majasiri wakiwa mashuleni. Wanachojifunza ni kupokea maarifa tu.
 
Back
Top Bottom