HISTORIA: Safari ya Anna Makinda kutoka Naibu Spika hadi Spika wa JMT

Tulishayafehemu haya
wacha waendelee na madudu maana naamini kashfa walizozifanya hazikuwatosha na sasa wanajiandaa na big fall.
Mungu awarehemu

Mwanangu vipi?

Unaombea rehema mafisadi???

Please edit your last sentence and put 'awalaani' instead

mimi ni mtoto wa kijijini. najua namna wazazi wangu 50+ years wako duniani lakini hawajui hata rangi ya lami. wanafanya kilimo cha kusubiri mvua za Mungu. wanaishi kwenye tembe.

fisadi yuko Dar anashinda kwenye suti na shangingi la kifahari kwa kodi ya mshahara wangu ambao haufiki hata robo-milioni.
 
ok,mi ndio nilikuwa napenda iwe hivyo na mahasira yake ya maamuzi yasiyo na logic atakutana na damu changa kama G.LEMA,MNYIKA,na mzee wa kazi AIKAELI MWANA WA MBOWE,duh kazi anayooooooooooooooooo

Bila kuwasahau kina Tundu Lissu, Zitto..........:yield:
 
''Sasa umejua mimi ni nani...shuwaini''


small-IMG_6453.JPG

Hahahahahahahhh!! du!! Safari..... umepatia kwelkwel!
 
MAFISADI WANAIPELEKA MCHAKAMCHAKA CCM NA SERIKALI YAKE!!
Where is the so called DEMOCRACY in this Wadanganyika country??? This is DAMN-CRY!!!
 
Wewe mwongo kwenye CC wajumbe wako 30 tu wewe hao 250 umewato awapi?

Shame on you!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ni vizuri kabla ya kumsimanga huyu jamaa ungeelewa kwanza utaratibu wanaofuata na hatua. Nafikiri it is shame on you!
 
Anna Makinda amechaguliwa kwa Kura 221
Anna Abdala 14
Kate Kamba 15

Hizo meza za bunge mbona zitachoka kipindi hiki kwa kugongwa. Maana wabunge sisiem watapitisha kila jambo ambalo mafisadi wanawaamulia bila hata ya kufanya upembuzi yakinifu- what a shame. We still have time though GO MARANDO GO.
 
Wewe mwongo kwenye CC wajumbe wako 30 tu wewe hao 250 umewato awapi?

Shame on you!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Heshima kwako Rwechu,


Mkuu mchakato wa uchaguzi umeshatoka mikononi mwa CC kwasasa uko ndani ya kamati ya wabunge wa CCM.
 
Hivi angebaki Sam Six na Andy Chenge kwenye hao watatu ingekuwaje? Yaani Sam, Andy na Anne.
 
uamuzi wa kiwazimu kweli kweli.
mwenda tezi na omo....................
 
Aaah, basi tena, Moshi mweusi huuoooo kwa Marando

Kama wapinzani wote watampa Marando kesho tayari ana kura si chini ya 105 though nina wasiwasi na Lyatonga. Kundi la Sam Six kama ni kubwa na likaamua ku-revenge basi Makidamakida atatupwa nje. Mpaka sasa tuna kura za CCM 29 (waliomkataa Anne Makidamakida).
 
Mafisadi wanapomlinda mtu wao!!!nani asiyejua Makinda alikopeshwa sh1 Bilioni na Karamagi na ameshindwa kulipa? Karamagi,Chenge,Rostam na baba yao Kikwete lao moja
 
Huyu mama ni balaa tena ni fisadi sana kachukua ardhi ya wagogo wa watu kule matongolo Wilaya ya Kongwa ana heka karibuni 1000 kajenga maghala ya kuhifadhia mahindi wagogo wanaangalia tu halafu wanalalamika baadae HAFAI HATA KIDOGO


Modern morality and manners suppress all natural instincts, keep people ignorant of the facts of nature and make them fighting drunk on bogey tales.
 
Back
Top Bottom