HISTORIA: Safari ya Anna Makinda kutoka Naibu Spika hadi Spika wa JMT

ok,mi ndio nilikuwa napenda iwe hivyo na mahasira yake ya maamuzi yasiyo na logic atakutana na damu changa kama G.LEMA,MNYIKA,na mzee wa kazi AIKAELI MWANA WA MBOWE,duh kazi anayooooooooooooooooo
 
Am I dreaming? au nimesoma vibaya.
Anyway, hilo la Anna MAkinda kuteuliwa ni so Obviously.
 
Kwani ni issue ubabe wake, atakamatwa na kanuni za bunge kama walivyokamatwa na sheria za uchaguzi:hippie:
 
Kwani ni issue ubabe wake, atakamatwa na kanuni za bunge kama walivyokamatwa na sheria za uchaguzi:hippie:
Huyo mama anajua sana kususa na kutaka kujiuzulu ......ngoja akibanwa utamuona anavyo panic...Bunge litakuwa la kusuasua kila mara.....hana confo kabisaaa
 
Huyu mama ni balaa tena ni fisadi sana kachukua ardhi ya wagogo wa watu kule matongolo Wilaya ya Kongwa ana heka karibuni 1000 kajenga maghala ya kuhifadhia mahindi wagogo wanaangalia tu halafu wanalalamika baadae HAFAI HATA KIDOGO
 
huyu mama ni dikteta sana na atashindwa.

Waliomtafutia ulaji huu watahakikisha hashindwi. Chenge atakuwa naye benet, EL atakuwepo,.....Yuko pale kwa kazi maalum itakayosimamiwa vizuri na kundi kali kwa ajili ya 2015.
 
Tulishayafehemu haya
wacha waendelee na madudu maana naamini kashfa walizozifanya hazikuwatosha na sasa wanajiandaa na big fall.
Mungu awarehemu
 
Bado siamini kama huyu mama atakuwa spika, Mabere marando nampa nafasi zaidi kwani najua kundi la Sitta litahamia kwa marando kuwakomoa mafisadi.
 
Hilo lilijulikana wazi na lilipangwa mapema. Tulipoona amechukua fomu ya kugombea uspika na si unaibu spika, tulijua kuwa tayari CCM wameshaamua yeye awe spika. Kwa kawaida isingekuwa rahisi kwake binafsi kuamua kuwania nafasi ya bosi wake wakati anajua bosi nafasi hiyo bado anaitaka. Ni mafisadi wamemtuma afanye hivyo.
Kama wengi mlivyo-comment ; hako ka tabia kake ka kumwambia mbunge kaa chini hakika katamponza safari hii. Ajiandae kupokea all arguments for and angaist
 
Taarifa kutoka tbc inasema ameshinda kwa kura 200+ kuwania uspika wa bunge akifuatiwa na KATE KAMBA

Unaweza kutujuza ni kura 200 kati ya ngapi ili tuweze kujua zipi zinaweza kuja upande wetu
 
''Sasa umejua mimi ni nani...shuwaini''


small-IMG_6453.JPG
 
hahah kweli mama anajua Kupaniki sana kinachotakiwa ni kumsukuma sukuma ili asusie Kiti hoja zitaendeshwa tuuuu
huu ndio Mwisho wa CCM believe me kama wanatafuta huruma kwa kina mama sidhani kama watafanikiwa ..... :rip:CCM
 
Back
Top Bottom