Hisia. . .

Mie nilishajiambia
Nina maamuzi ya mwisho na masiha yangu
As long as am comfortable, nafanya nitakacho, wakati wowote, kwa staili yeyote

Watu wanajidai weeeema, lakini wana maasi gizani ambayo hata sheitwani huwa anashangaa

Thank you, thank you na naomba ruksa kuitumia kama sahihi sentensi ya rangi ya blue
 
Ameuliza vizuri kwamba kuna Members wanaolipwa kwa kupost thread? are u serious!! angeuliza kwamba kwa sababu mleta thread ni Premium Member je anaichangia JF pesa kiasi gani kwa mwaka? hili lina logic.
Hivi kwa fikra finyu kama hizi Mtu unaweza kuwa miongoni mwa Great thinker? kweli nimeamini kichuguu ndio nyumba pekee ambamo nguchiro na nyoka wanaishi pamoja.
Hisia...
 
He he he
Mie nashabikia DMX ana highlanders kwa makundi
Solo kuna CMP Punk na Ray mysterio

John Cena ana karibia kushindwa kuitetea slogan yake.
Maana Kane ana mpelekesha kweli ili aingie kwenye kisima cha chuki.
 
Nilipo fika hapo nikahisi una nidongoa mimi,...huh.
Honestly,....ni rahisi sana kumjua mtu kama kakasirika au vipi
kama mnaongea face to face.

Body language haijui kuficha feelings za moyo wako,..unless umesomea
kuficha what you feel....(haya yako jeshini zaidi,...tena sio kila mwanajeshi).

Lakini otherwise,kama mko pamoja na mtu akakwambia ume kasirika,hata kama huja kasirika then
lazima una tatizo ambalo lime jionesha kwa lugha ya mwili wako.

unamuuliza tu are you okay? Hata mara mbili-tatu .... Kujudge tu kwamba we una hasira... Au hasira zako za ofisini unaleta nyumbani.. Si vizuri...
Kama kweli umemwona hayuko okay,ask it gently..
 
mhh afadhali mtu azungumze hisia zako kama mnafahamiana physically na mko mnaona na wakati huo

inafurahisha mtu anapojifanya anakuju kwa post tu za hapa jf.....

eti mbona umekasirika hivyo? lol

au fulani mbona unamfuata fuata kwenye post zake?

mna nini kati yenu?

watu kwa hisia lol
Mazee wewe hujui kama kuna wehu wa aina nyingi wengine wanakukasirikia na hawakujui hahaha.

Itabid basi watafute basi njiani kama wataona majina yetu fazaa au Boss mbona watasumbuka, we wachaa tu mazee kuna wengine ukimwambia unampenda anadhani kweli na wengine ukiwambia unawachukia wanadhani kweli si unajua wengine wanamini JF utadhani ni Qur'an au Bible :biggrin:
 
Hizi ndio Hisia za kijinga zinazoongelewa kwenye thread hii, The Boss ameelezea vizuri usijifanye unamjuwa sana mtu kwa post zake za JF. KAMA KAZI YAKO NI KUBEBA ZEGE usitake wote tuwe hivyo.
Mimi nafanya kazi mara 2 tu kwa mwaka na ninaingiza kipato cha ku cover life expenses zangu kwa miaka 2.

Wacha bwana. Nimeipenda hii. Wewe ni norma.
 
Usitake kuharibu thread ya watu, kama ni matusi mimi nina software ya matusi hujalazimishwa kuchangia thread hii heshima ni kitu cha bure, hizi ndio Hisia za kijinga kujifanya mnajuwa watu humu wakati ni mafala tu.
.

Punguza hasira.
 
Duh kwa ku-mordenisi majina hujambo
king'ast naskia naye kawa Kyng'erst

Lakini huyu si alikuwa Gchokest
Sasa nitumie lipi?

Mi na GeeCee tuna makubaliano bana.Wengine wote nimekoma maana kushushuliwa kuchachu sana.
 
Back
Top Bottom