Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,807
- 59,289
- Thread starter
- #21
mhh afadhali mtu azungumze hisia zako kama mnafahamiana physically na mko mnaona na wakati huo
inafurahisha mtu anapojifanya anakuju kwa post tu za hapa jf.....
eti mbona umekasirika hivyo? lol
au fulani mbona unamfuata fuata kwenye post zake?
mna nini kati yenu?
watu kwa hisia lol
Mi hizi za humu wala hata hua sihangaiki nazo tena Boss japo mwanzoni nilikua nauliza kulikoni. . .siku hizi nabaki kishangaa tu.
Huku uraiani sasa. Utasikia "mbona huongei na mimi, nimekukosea?" Hapo mhusika akijibu hapana ndio mwanzo wa "LAZIMA, mbona sasa huongei na mimi, au mbona sasa umepooza kama sio mimi?!" Ina maana mtu hawezi kuwa na matatizo mengine?