Hisia zako zilikuwaje?

Kiranja, tunaruhusiwa kupaste hiyo namba ya simu for my future use please????

ohooooooo sasa tunaingiliana tena....yale yale Mwana Kijiji asopenda, mimi nijiinventie idea yangu ya kujuana na Kiranja Mkuu wewe sasa unaipaste tena for future use....js bana acha hizo basi....

Mi nawaangalia tu.

Nikiwakamataaaaaaa:D:D:D!!!!!!!!!
 
Kiranja, tunaruhusiwa kupaste hiyo namba ya simu for my future use please????
JS mama unashtakiwa kwa kosa la kunichekesha hadi nimelia!! Mbona unadandia treni kwa mbele we mwana?? Yaani kama namwona bht alivyotumbua macho ka anaingiza vocha ya mia tano kwenye simu lol!
 
kaizer:gongo
xpin:wanzuki
G:Komoni
wengine wasikupe shiiiiisaBHT MBEGE,1STLADY ULANZI,PEARL: FANTA BARIIIIIIID
Mhhhhhhhh makubwa,huyu mnywaji wa gongo, asije,anataka kuharibu birthday yangu huyu, si tutaishia keko? si unajua polisi wanavyo mind kesi za gongo?
 
Fidel mimi nilikuwa namfikiria yuko kama alivyo X-pin yaani mtundu, mchokozi na mwenye matani mengi kumbe sivyo masikini mbaba wa watu!!

Hahahahaha waeleze bana wengi wanajua mm mhuni mpenda totozi kumbe wala mpole na mnyenyekevu.
 
JS mama unashtakiwa kwa kosa la kunichekesha hadi nimelia!! Mbona unadandia treni kwa mbele we mwana?? Yaani kama namwona bht alivyotumbua macho ka anaingiza vocha ya mia tano kwenye simu lol!

yaani kama ulikuwepo, yamenipata yalompata Mwana Kijiji kwenye Vodacom Red Alert.........

afu wee MJ1 inauzwa mia tano hamsini hiyo kitu.....
 
JS mama unashtakiwa kwa kosa la kunichekesha hadi nimelia!! Mbona unadandia treni kwa mbele we mwana?? Yaani kama namwona bht alivyotumbua macho ka anaingiza vocha ya mia tano kwenye simu lol!

Bora ucheke mwaya dada yangu maisha yenyewe haya mafupi
Hepi besidei kwa yule dogo mpendwa. aishi maisha marefu.
 
ohooooooo sasa tunaingiliana tena....yale yale Mwana Kijiji asopenda, mimi nijiinventie idea yangu ya kujuana na Kiranja Mkuu wewe sasa unaipaste tena for future use....js bana acha hizo basi....

Nisamehe Bht vidole viliteleza kidogo vikapotosha maana..............
icon10.gif
 
Bora ucheke mwaya dada yangu maisha yenyewe haya mafupi
Hepi besidei kwa yule dogo mpendwa. aishi maisha marefu.
Hahahahh ndio mia tano na hamsini yaelekea bht mteja mzuri sana mamii

Aksante kwa besdei wishes yaani namshukuru MUNGU hata kwa hapa tulipofika.
 
Back
Top Bottom