Hisia zako zilikuwaje?

Invizibo: Mlevi, mpenda vurugu, mpenda totoz
Maxence: Mvivu, mbishi,mchonganishi mpenda wake za watu.

Nikila ban wazee naomba mniombee msamaha LOLZ!Tafadhalini sana ndugu zangu. Chonde chonde:D:D:D!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

oooh my Binamu hizi sifa si njema hata kidogo ..am sorry :(:(
 
boss:mpenda vyeo,madaraka,totoz,kinywaji,mvumilive,mpole
 
Invizibo: Mlevi, mpenda vurugu, mpenda totoz
Maxence: Mvivu, mbishi,mchonganishi mpenda wake za watu.

Nikila ban wazee naomba mniombee msamaha LOLZ!Tafadhalini sana ndugu zangu. Chonde chonde:D:D:D!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Invizibo....very diplomatic (kwani huyu ni invisible mpaka akupige ban??)
Maxence.....hahaaaaa biggy utakomaaaaaaaaa
 
Lily flower: mpole,mdada,mchapakazi
umekosea!huyu mwanamama tunakunywa nae VALUU kila siku pale SAVANNA manzese...

unawakumbuka ZENA na BETINA wa gazeti la sani?YEYE NI KAMA ZENA:D
 
Ndibalema hiyo ni taarifa mpya umetuambia.

Mwanakjj unaeza kuclear the air hapa kidogo??? Ni kweli umepata dogo dogo??? Mbona hatuambizani??? Wakati mie ndo mhasibu mkuu wa shughuli zote za humu ndani zinazohusu ndoa na mapenzi etc????

tumsubiri Mwanakijiji atatoamajibu yote.
Jamani vipi Kuhusu BABU ATAKA KUSEMA?
 
boss:mpenda vyeo,madaraka,totoz,kinywaji,mvumilive,mpole

Boss ; bossy, anajiamini, mpole, caring, selfless, mpenda starehe (lakini baada ya kazi), anapenda mademu huko ofisini kwake naona kawamaliza...........
 
tumsubiri Mwanakijiji atatoamajibu yote.
Jamani vipi Kuhusu BABU ATAKA KUSEMA?

mpole, anajua kusimamia hoja zake, seems to be a caring and responsible husband and father, ana heshima
 
Invizibo: Mlevi, mpenda vurugu, mpenda totoz
Maxence: Mvivu, mbishi,mchonganishi mpenda wake za watu.

Nikila ban wazee naomba mniombee msamaha LOLZ!Tafadhalini sana ndugu zangu. Chonde chonde:D:D:D!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Halafu ukiitwa mchokozi unakasirika wee biig brother wewe shauri yako mchokoze Maxence tuu utaona balaa lake
icon10.gif
 
Halafu ukiitwa mchokozi unakasirika wee biig brother wewe shauri yako mchokoze Maxence tuu utaona balaa lake
icon10.gif

na Maxence alivokuw amkubwa kama nyumba....akimwangukia biggy basi tena hata geneza hatuchongi!!!!!!!!!!!
 
Ivi ulivyojiunga na JF kuna watu mkawa hamfahamiani mnawasiliana hapa tu,labda mkabadilishana no za cm etc,je ulikuwa unawaza(kabla hamjaonana)huyo mtu yukoje?umbile,tabia,rangi etc mm kwa mfano watu niliowasiliana nao na tumeonana/hatujaonana:

1st lady: mcha Mugu,anampenda mumewe,anapenda kazi,mdada mwenye heshima zake
QUOTE]

Thanks my Pearl kwa mie ni kama vile uko sawasawa kabisa niko kwenye swala zima la kilimo kwanza 2010 lakini naona mabinamu wameanza kunitafutia kazi TBL sijui itakuwaje?
 
Back
Top Bottom