mang'ang'a
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 828
- 379
Kuna chumba chenye milango 4 (Kaskazini, kusini, Mashariki na Magharibi) kila unapoingia ndani ya chumba hicho ni lazima ulipe sh. 5 na unapotoka pia ni lazima ulipe sh. 5...
Lakini kila unapoingia ndani ya chumba hela uliyonayo inaongezeka mara mbili (x2).
Sasa inabidi niingie kupitia mlango wa kaskazini nitokee wa kusini, kisha niingie tena kupitia mlango wa Mashariki na nitokee mlango wa Magharibi.
Je, niwena shilingi ngapi ili nnapotoka katika mlango wa Magharibi niwe na sh 0 (sinai kitu)!?..
Usiingie kabisa