hisabati..

Avatar Myg

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
675
118
Kuna chumba chenye milango 4 (Kaskazini, kusini, Mashariki na Magharibi) kila unapoingia ndani ya chumba hicho ni lazima ulipe sh. 5 na unapotoka pia ni lazima ulipe sh. 5...
Lakini kila unapoingia ndani ya chumba hela uliyonayo inaongezeka mara mbili (x2).
Sasa inabidi niingie kupitia mlango wa kaskazini nitokee wa kusini, kisha niingie tena kupitia mlango wa Mashariki na nitokee mlango wa Magharibi.
Je, niwena shilingi ngapi ili nnapotoka katika mlango wa Magharibi niwe na sh 0 (sinai kitu)!?..
 
Hesabu ngumu hiyo sijawahi kuona, inachanganya sana, umetoa kitabu gani,kama vipi tupe jibu.
 
Duh!mi bado gizani,ila mkuu usitoe jibu,tuwasubiri wengine nao wajaribu.
 
unatakiwa uwe na sh 11 point something. Hii mambo ya kuumiza kichwa nilishaachaga tangu drs la tatu nilipojua kujumlisha, kutoa, kuzidisha na kugawanya. Zingine zote ni mbwembwe tu.
 
Hili swali noumar!Mi ningekuwa na sh 12 na senti 50,lango la kaskazini nalipa sh.5 kisha nazama ndani na sh.7.5.Hizi sh. 7.5 zita double na kuwa sh. 15.nitalipa sh.5 za kutokea lango la kusini na wakati huo huo nitalipa advance ya sh.5 ya kutokea lango la magharibi.Mwanaume nitatoka nje na salio la sh.5.Baada ya hapo nitalipa sh.5 ya kuingilia lango la mashariki,kisha nitazama ndani mikono mitupu.Mwisho nitatokea lango la magharibi nililo lipa in advance then nikitoka out nitakuwa sina kitu,kwa hiyo mimi ningehitaji sh 12 na senti 50(akili yangu imeishia,nasubiri jibu sahihi)
 
nikiwa na sh 11 na senti 25 nitalipa lango la kas sh 5 na kubakiwa na sh 6.25 ikiongezeka mara mbili inakuwa sh 12.50 then nalipa sh 5 kwenye lango la kus na kubakiwa na sh 7.50. Naendelea na safari tena mlango wa mash natoa sh 5 na kubakiwa na sh 2.50 then ikiongezeka mara mbili inakuwa sh 5 nikilipa mlango wa magh nabakiwa na sh 0.
 
Bila shaka hili ndo jibu sahii kabisa!
 
nikiwa na sh 11 na senti 25 nitalipa lango la kas sh 5 na kubakiwa na sh 6.25 ikiongezeka mara mbili inakuwa sh 12.50 then nalipa sh 5 kwenye lango la kus na kubakiwa na sh 7.50. Naendelea na safari tena mlango wa mash natoa sh 5 na kubakiwa na sh 2.50 then ikiongezeka mara mbili inakuwa sh 5 nikilipa mlango wa magh nabakiwa na sh 0.

Da umeniwahi mkuu, ndo nilikuwa nimepata hilo jibu nikawa nataka kuposti lakini nikasema ngoja ni-reflesh kwanza kuona kama kuna aliyepata ili kuondoa duplication ndo nikaona bandiko lako.

Ujanja hapa ilikuwa unaanzia mwisho (kuhakikisha unapata sifuri) halafu unarudi mwanzo.

Hongera mkuu!
 
The following user say Thanx to you Jaluo_Nyeupe for this wonderful & useful post. Avatar.
 
Da umeniwahi mkuu, ndo nilikuwa nimepata hilo jibu nikawa nataka kuposti lakini nikasema ngoja ni-reflesh kwanza kuona kama kuna aliyepata ili kuondoa duplication ndo nikaona bandiko lako.
Ujanja hapa ilikuwa unaanzia mwisho (kuhakikisha unapata sifuri) halafu unarudi mwanzo.
Hongera mkuu!

Asante mkuu ila bado muuliza swali hajatoa jibu pengine ametutega kwenye swali lake na sisi tukajibu direct kwani mi mambo ya hesabu not richabo.
 
Da umeniwahi mkuu, ndo nilikuwa nimepata hilo jibu nikawa nataka kuposti lakini nikasema ngoja ni-reflesh kwanza kuona kama kuna aliyepata ili kuondoa duplication ndo nikaona bandiko lako.

Ujanja hapa ilikuwa unaanzia mwisho (kuhakikisha unapata sifuri) halafu unarudi mwanzo.

Hongera mkuu!

Kiprimary-primary, unaanza tu kwa kuassume kiasi hicho cha Fedha ni X, kisha
Raundi ya Kwanza: akatoa 5 mlango wa kwanza,ikadoble,kisha akatoa 5 mlango wa kutokea= 2(X-5)-5=2X-15
Raundi ya Pili:alikuwa na 2X-15,akatoa akiingia 5, ikadouble,akatoa akitoka 5,ikabaki 0= 2(2X-15-5)-5=0; 4X-40-5=0;4X=45; therefore X=11.25

Ambayo ni Tsh 11 na senti 25.
 
Kiprimary-primary, unaweza ukaanza tu na kuassume kiasi hicho cha Fedha ni X, kisha<br />
Raundi ya Kwanza: akatoa 5 mlango wa kwanza,ikadoble,kisha akatoa 5 mlango wa kutokea= 2(X-5)-5=2X-15<br />
Raundi ya Pili:alikuwa na 2X-15,akatoa akiingia 5, ikadouble,akatoa akitoka 5,ikabaki 0= 2(2X-15-5)-5=0; 4X-40-5=0;4X=45; therefore X=11.25<br />
<br />
Ambayo ni Tsh 11 na senti 25.

hiyo nzuri pia.
 
Mkuu umejitahidi sana aloo!.. Mi nilipolisoma nilikokotoaa weee hadi ikabidi nichungulie jibu!..

ahahahaa. Mimi mwanzo nilibunisha bunisha nikapata 11 mambo ya senti yakagoma ikabidi nijaribu kufanya kidogo hesabu za kuzidisha na kutoa.
 
INATAKIWA UWE NA SHILLING 7.5/- yaani shilling saba na senti hamsini.
NADERIVE:

Assume unaingia na shilling x, ukifika ndani hela uliyoingia nayo itadouble na kuwa 2x.
Lakini itabidi ulipe shilling 5 kwa kuingia, kwa hiyo itabaki 2x-5

Ukitoka tu nje unakatwa tsh 5, so itakuwa 2x-10, hii ndiyo hela utakayoingia nayo mara ya pili.

Ukiingia tu inabouble na kuwa 2(2x-10)
Lakini itabidi ulipe shillingi 5 kwa kuingia, so itakuwa 2(2x-10)-5
Ukiwa unatoka utachajiwa Tsh 5, so itabaki 2(2x-10)-10

Sasa kwa kuwa unataka kubaki na shillingi 0, then equate yote equal to 0, 2(2x-10)-10=0
Solve for x, then unapata 7.5/-
 
Kiprimary-primary, unaanza tu kwa kuassume kiasi hicho cha Fedha ni X, kisha
Raundi ya Kwanza: akatoa 5 mlango wa kwanza,ikadoble,kisha akatoa 5 mlango wa kutokea= 2(X-5)-5=2X-15
Raundi ya Pili:alikuwa na 2X-15,akatoa akiingia 5, ikadouble,akatoa akitoka 5,ikabaki 0= 2(2X-15-5)-5=0; 4X-40-5=0;4X=45; therefore X=11.25

Ambayo ni Tsh 11 na senti 25.

Kuna utata kidogo,, cheki na solution yangu. Je hiyo hela unalipa nje ya mlango au ndani ya chumba? Maana kama ni hivyo basi inabidi uingie na hela x then iwe doubled to 2x then ulipe tsh 5. Kama unalipa kabla ya kuingia then uko right.
 
INATAKIWA UWE NA SHILLING 7.5/- yaani shilling saba na senti hamsini.
NADERIVE:

Assume unaingia na shilling x, ukifika ndani hela uliyoingia nayo itadouble na kuwa 2x.
Lakini itabidi ulipe shilling 5 kwa kuingia, kwa hiyo itabaki 2x-5

Ukitoka tu nje unakatwa tsh 5, so itakuwa 2x-10, hii ndiyo hela utakayoingia nayo mara ya pili.

Ukiingia tu inabouble na kuwa 2(2x-10)
Lakini itabidi ulipe shillingi 5 kwa kuingia, so itakuwa 2(2x-10)-5
Ukiwa unatoka utachajiwa Tsh 5, so itabaki 2(2x-10)-10

Sasa kwa kuwa unataka kubaki na shillingi 0, then equate yote equal to 0, 2(2x-10)-10=0
Solve for x, then unapata 7.5/-
utata mtupu,ni hivi:kama malipo yanafanyika baada ya kuingia ndani,mkimbizi yuko sahihi.kama malipo ya kuingia ndani,jaluo nyeupe iko sahihi.kumbuka malango ya kuingilia ni kaskazini na mashariki.
 
Back
Top Bottom