Hisabati nakupenda...

AKAN

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
907
859
bb.jpg
k.jpg
 
LEO NILIINGIA DARASANI NIKAANDIKA UBAONI KAMA IFUATAVYO:

(1) 9+1=70
(2) 9+2=11
(3) 9+3=12
(4) 9+4=13
(5) 9+5=14
(6) 9+6=15
(7) 9+7=16
(8) 9+8=17
(9) 9+9=18
(10) 9+10=19

Nilipo maliza kuandika tu, nikaona wanafunzi wote walikua wanacheka, kwasababu nilikua nimekosea swali la kwanza.

Nikawatazama wanafunzi, kisha akawaambia yafuatayo:
*Nimejikosesha lile swali la kwanza makusudi, kwasababu nilihitaji mjifunze kitu kimoja muhimu sana.Mnapaswa kujua namna ambavyo dunia inaweza kuwachukulia. Unaona hapo, nimeandika kwa usahihi maswali tisa (9), lakini hakuna kati yenu aliyenipongeza kwa hilo; wote mmecheka na kunilaumu kwasababu ya kosa moja tu nililofanya."

HIVYO, HILO NI SOMO KWENU:

Dunia haijali mazuri unayofanya hata ukiyafanya mara milioni, lakini fanya baya moja uone jinsi watakavyo kulaumu.

Hata hivyo usikate tamaa, MARA ZOTE SIMAMA IMARA NA USHINDE VIKWAZO VYOTE.
 
painful truth....
 
uko sawa mkuu yaani binadamu hata umtendee mema kiasi gani ipo cku atakunyea tu
Dunia haijali mazuri unayofanya hata ukiyafanya mara milioni, lakini fanya baya moja uone jinsi watakavyo kulaumu.

Hata hivyo usikate tamaa, MARA ZOTE SIMAMA IMARA NA USHINDE VIKWAZO VYOTE.
 
ushanpoteza mkuu...

Mkuu kiki ni kitu muhimu katika hesabu na yaani 'units of measures'
mfano 1+100=2 ni sawa kwa mfano ikitumiaka kwa : shilling 1 + senti 100 = shilling 2

Maembe 100 + machungwa 50 = matunda 150, na siyo maembe au mchungwa 150 bali yakuwa matunda 150
 
Back
Top Bottom