Hisa

majiyashingo

Member
Feb 2, 2011
44
2
Wadau janvini kila siku tumekuwa tukishauriana mambo ya biashara kupitia nyanja mbalimbalije naweza kuelewesha kwa hili kwa mfano nina millioni 60 ambazo ningependa kununua Hisa popote pale tuchukue twiga cement ambayo kila kipande ninakinunua kwa shillingi 130 je kwa mwezi naweza kupata kama shillingi ngapi?na je ni lazima uwe na mwanasheria mtalamu wa mambo ya hisa.manake naona ni bora kununua hisa kuliko kuweka pesa bank sijui wenzangu mnalionaje hilo
 
Nenda kwa ma broker wa soko la hisa la DAR, watakupa ushauri mzuri. Hata hivyo jaribu kufikiria ku invest kwenye Government securities ambako risk ni ndogo ukilinganisha na Hisa.
 
Back
Top Bottom