hisa za tcc

emike

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
345
108
wana jf heshima zenu,naomba kuuliza je kampuni ya sigara imetoa gawio la shs ngapi kwa hisa hii june 2012, na kama kuna wataalam wa haya malipo, ni njia gani nipitie ili malipo ya gawio yapitie kwenye account yangu na sio posta!!!natanguliza shukurani zangu
 
Gawio la karibuni liliotolewa niTshs 300 kwa hisa. Kwa hakika Sigara ni blue chip ya nguvu.

Kupitishia magawio yako ya TCC benki jaribu kuwaona CAD securities. Ukiingia website ya Dar es Salaam Stock Exchange utapata namna ya kuwasiliana na hao CAD securities.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom