Naona umeshapata jibu, ni TZS 50 per share, kama ulinunua share 1,000 tegemea dividend ya Tsh50,000/ kabla ya kodi
Unaonaje!!
sijajibiwa swali la pili
je toka wawe listed wametoa dividend kila mwaka?
na je kwa hesabu za sasa mtu akiweka tsh mil 300 mfano atapata dividends ya tsh ngapi?
Ndio NMB wamekuwa wanatoa dividend kila mwaka tangu wawe listed 2008sijajibiwa swali la pili
je toka wawe listed wametoa dividend kila mwaka?
na je kwa hesabu za sasa mtu akiweka tsh mil 300 mfano atapata dividends ya tsh ngapi?
Ndio NMB wamekuwa wanatoa dividend kila mwaka tangu wawe listed 2008
Hilo la kuweka 300M litategeme na dividend itakayotolewa mwakani, kumbuka dividend inaamuliwa na wanahisa katika Annual General Meeting. Hayo maelezo hapo juu ilikuwa ni AGM ya mwaka huu.
Na share ni shilingi ngapi kabla ya gawio?Naona umeshapata jibu, ni TZS 50 per share, kama ulinunua share 1,000 tegemea dividend ya Tsh50,000/ kabla ya kodi
Unaonaje!!
Na share ni shilingi ngapi kabla ya gawio?