Hip hop generation

Mr Producer

New Member
Apr 24, 2012
1
0
Nina imani kwa wale wenye mapenzi ya kweli na huu utamaduni wa maisha ya mtu mweusi (HIP HOP), wanatambua jinsi ulivyo wasaidia waafrika wenzetu wa huko marekani na sehemu mbalimbali duniani, Lakini sasa utamaduni huu umekua ukiharibiwa na kupotoshwa kuanzia na wamarekani weusi, na hapa nchini kwetu Tanzania. Wasanii wengi walio ibuka hivi karibuni hapa nchini kwetu na sehemu mbali mbali, wamekua waki jiita eti wana hip hop Mfano. Godzilla, Country Boy, Mexcana, Chid benz na wengine wengi kama hawa hivi wana ufahamu vizuri utamaduni huu? au ndo wanautumia kumeki chapaa?. Hivi wana sifa gani za kujiita wana hip hop ?, au kwasababu wana weza kurap? mbona hata waimba mayenu wanarap lakini hawajiiti wana hip hop?, Hip hop sio aina ya muziki kama wengi wanavyo dhani ?, huu ni utamaduni au aina ya maisha ambayo mtu ana amua kuishi, chimbuko hasa la aina hii ya maisha ya watu weusi ni katika harakati za kudai usawa na haki za watu weusi huko Amerika pamoja na kutokomeza ubaguzi wa rangi, Hivi hawa wasanii wanao jiita wana hip hop wana upeleka wapi huu utamaduni wetu........?, Utamaduni huu unu misingi yake muhimu ambayo mwana hip hop lazima aifahamu vizuri na kuishi ndani yake................. TO BE CONTINUED IN NEXT POST, Mwanaharakati Mr. Producer.
 
Mbona sasa unatangaza kipindi cha MAHABA Sauti ya Injili au Redio Maria?
 
"Wasanii wanauza Sura sie tunauza maneno kurap wanarap hata waimba mayeno,wameshindwa watu labda wawatume mashetani leo hii nakuny@ kisha mtazoa hamuwezi kukaa na m@vi nawasha kama chavi chavi"---Kalapina
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom