Hip hop Facts Thread

album kali kila shabiki wa hip hop anatakiwa kuskiliza
nas- illmatic
lupe fiasco- food and liquor
kanye west-college drop out
jayz- the blue print
kanye west -My Beautiful Dark Twisted Fantasy
Kendrick lamaar- good kid mad city.
zote hizo ni fire, ebu jaribu pia kuskiza na hizi japo ni new skool

my name is my name - pusha t
watch the throne - jayz & kanye
quality street music - dj drama

utazipenda hautakaa ufowadi
 
zoiavnw6pzojwqlklj10.jpg

Ngoma ya Blondie yakuitwa rapture ndio video ya rap ya kwanza kuchezwa na MTV
 
vlyblg1tqbx1wdrwgwva.jpg

Huyu ni rappa Ol' Dirty Bastard aka ODB akiwa amepanda stejini wakati wa tuzo za Grammy mwaka 98, ODB alivamia steji baada ya kutangazwa Puff Daddy ndio amechukua album of the year na album ya No way out wakati dunia nzima ilitegemea album bora ya hiphop wangechukua Wu Tang Clan na album yao hatari Wu Tang Forever. Alichosema ODB ni kuwa amepanda kuiambia dunia kwamba Wu wanafanya muziki kwa ajili ya watoto wanataka watoto wajifunze kupitia muziki wao.

"Please calm down, the music and everything. It's nice that I went and bought me an outfit today that costed a lot of money, you know what I mean? 'Cause I figured that Wu-Tang was gonna win. I don't know how you all see it, but when it comes to the children, Wu-Tang is for the children. We teach the children. You know what I mean? Puffy is good, but Wu-Tang is the best. Okay? I want you all to know that this is ODB, and I love you all. Peace!"

Kilichofata baada ya hapo ni bifu kati ya Bad boys na Wu tang...Wu wakapata bonge ya kiki na album yao ika double mauzo
 
Nafikiri baada ya wao billboard kufanya tafiti Pac hakubahatika kuwepo kwenye list. Wewe unafikiri kwa nini alistaili kuwepo?
unajua Pac kwa hip hop ni kama Icon.The guy was influential na lyrically he had content like no other unlike watu kama Biggie,notorious was all about bragging.The riches,bitches,drug slinging in a negative way.Pac alireflect community ya mwafrica aliye ishi kwenye projects he was about the people na linapo kuja swala la Hip Hop ni njia moja ambayo gamba la watu wanao kandamizwa inawatetea (voice of the voiceless) na pac as an emcee repped this aspect 100%.Akina BIG walikua na swag,good flow content wise he got minus.So Pac anastahili kuwepo IN TOP 2 kwenye list yeyote ile period.
 
vlyblg1tqbx1wdrwgwva.jpg

Huyu ni rappa Ol' Dirty Bastard aka ODB akiwa amepanda stejini wakati wa tuzo za Grammy mwaka 98, ODB alivamia steji baada ya kutangazwa Puff Daddy ndio amechukua album of the year na album ya No way out wakati dunia nzima ilitegemea album bora ya hiphop wangechukua Wu Tang Clan na album yao hatari Wu Tang Forever. Alichosema ODB ni kuwa amepanda kuiambia dunia kwamba Wu wanafanya muziki kwa ajili ya watoto wanataka watoto wajifunze kupitia muziki wao.

"Please calm down, the music and everything. It's nice that I went and bought me an outfit today that costed a lot of money, you know what I mean? 'Cause I figured that Wu-Tang was gonna win. I don't know how you all see it, but when it comes to the children, Wu-Tang is for the children. We teach the children. You know what I mean? Puffy is good, but Wu-Tang is the best. Okay? I want you all to know that this is ODB, and I love you all. Peace!"

Kilichofata baada ya hapo ni bifu kati ya Bad boys na Wu tang...Wu wakapata bonge ya kiki na album yao ika double mauzo
apumzike kwa amani huyo mwana...
 
Mkimaliza za marekani, tujadili na zetu wenyewe
Au ndio mke wa maskini, kuwadi mumewe
Nani anashika usukani, nani ni baridi
Kati ya Joh makini, na ngosha Fid
Ama mbishi na zaeed, sio tu 50 na did
Inapendeza mnapoeleza hip hop na miiko
Wapi na lini ilikuwa chimbuko,
Mtiririko wa list ya maandiko
Sio twist ni mziki wenye wenye mashiko
 
ni muhimu sana aisee
 
CTOIH9SXAAAU8PF.jpg

Busta Rhymes alipokata dreads zake alizifunga kwenye box na kumtumia mama yake ambaye anaziifadhi mpaka leo.
 
B_sbTTaUcAAtfj7.jpg

Lil Wayne ana singo 23 ambazo ni certified platnum hakuna rapa aliyofikia rekodi hii.
 
King Kendrick Lamar akipafomu kwenye tuzo za Grammy 2016, ilikuwa ndio best perfomance ya usiku
huo

CbTczSpUkAA3sdO.jpg
 
My BEST HIP HOP albums of all the time;
1)Grandeur-Apollo Brown
2)Infamous-Mobb Deep
3)Friday night Lights-J Cole
4)Ready to Die -Notorious BIG
5)The Blue Print I -Jay Z
6)Doctor's Advocate-The Game
7)God's Son-Nas
8)Wu Tang Forever-Wu Tang
9)The Giancana Story-Kool G Rap
10)Beneath the Surface-GZA
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom