Hiongera tume ya uchaguzi Arumeru

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,435
1,597
Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza wenzangu wachapakazi wa tume ya uchaguzi kwa kutangaza matokeo ya ukweli Arumeru, nimegundua watu hawa wanavunjika moyo na kukosa morali kwa sababu hata wanapofanya kazi zao vizuri hakuna anaye onesha ku appreciate, sasa nataka niwe wa kwanza kuwapongeza kwa kazi hii ngumu ya kutangaza chadema kama washindi huko Arumeru, na hii iwe chachu kwa chaguzi zingine zote zitakazotokea, na hatimaye uchaguzi mkuu 2015.

Shukrani za kipekee ziwaendee wana Arumeru kwa kuonesha mfano wa kutokubali kuwekwa kwenye kundi la wajinga wanashabikia vyama visivyokuwa na tija kwa maslahi ya mtanzania. Nawapongeza sana kwa kuwafunika Igunga walioamua kuchagua ccm ilendelee kuwala kwa miaka mingine mitano, huku wakichakachua wake zao.

Asanteni kwa kunisikiliza
Kigumu Chama Cha Mapinduzi
 
Bila shinikizo la CDM wangetangaza matokeo halali?
 
Back
Top Bottom