Hilo nalo neno

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
tamko la asasi zisizo za kiserikali juu ya kuandaa mdahalo kwenye majimbo 120 nchi nzima linatia faraja,litaamsha watu na kusaidia kutoa elimu ya uraia kabla ya uchaguzi mkuu,hata kama chama kizee kitaendelea na ubishi wake wa kutokushiriki midahalo bado itakuwa fursa nzuri kuwaamsha wananchi kufanya maamuzi sahihi kwa mustakabali wa taifa letu,sote tujitokeze kwenye midahalo hiyo kulinusuru taifa letu na msiba mkubwa uliopo mbele yetu
 
Back
Top Bottom