Hillary Clinton alizwa simu mbili -Tanzania

Kweli wizi ni wizi tu aijalishi unamwibia nani,tulizani hali hii inawatokea abiria wa kawaida tu sekeseke limezuka uko airport
begi ya mh clinton mrs imekutwa imefunguliwa na simu mbili azionekani watu waliokuwepo woote wametangaziwa kuandika report anyway siwezi toa comments ila kwa mimi ningeanza na usalama kwanza...hawa wangejua wapi zilipo maana wakipokea mizigo hawa jamaa wanaangalia mpaka inapoingia kwenye gari zao..anyway tuwaachie wenye

mkweli atajulikana tukumbukane hata usalama nao ni binadamu na wana hamu na wanatamani...
Mkuuu taratibu kaka, tusipende kulivunjia hadhi hili jukwaa.
 
IMEKUTWA IMEFUNGULIWA........je lilipandishwa likiwa limefungwa?......HALIKUPITA NAIROBI KWELI? ....??? Hapa mzigo mzito anataka kutwishwa mnyamwezi......!!!!
 
if a fool deceives u once,shame upon him, but if he deceives you twice,SHAME UPON U..
 
Simu ya Mama Clinton ikiibiwa hapekuliwi mtu na mwizi anashikwa kama kuku in a very short time.
Hadithi hii haijazingatia Technolojia iliyopo.
Simu za waheshimiwa hawa ziko Tagidi kwa hiyo wanazi Monita so closely and heavily
 
Duh! aibu kubwa! huyu mama kasafiri nchi mbali mbali lakini hili halijawahi kumtokea ila Bongo!!! Mhhhh! Hao wote walioshughulikia mizigo ya Clinton na waliomo katika msafara wake ningewakamata wote na kuwatia ndani (pamoja na vingunge wao waliopo Airport wakati mizigo hiyo ilipokuwa inashughulikiwa) mpaka warudishe hizo simu.
BAK

Unaniangusha bwana kwanza Diplomat wote mabegi yao hayakaguliwi pili unadhani CIA walitangulizwa kufanya kazi gani??? Unahisi wawaachie nyie wamatumbi mubebe mabegi ya mtu muhimu kama Secretary of State??? Huu ni uzushi tu
 
Acha kusema Tanzania sema Dar es salaam,maana ndipo simu imeibiwa. Nyie watu wa Dar wezi sana hadi mnatia aibu.
hakuja dar ameitembelea tanzania,na ukiipitia mitandano ya bbc wanasema anafanya ziara afrika
 
Kama kweli safi sana inaweza kusaidia hawa wezi wa airport kushughulikiwa.

Sie walala hoi kila siku tunalia na wizi wa airport lakini wahusika hawajali kitu labda aibu walioipata sasa itawafanya wachukue hatua.
 
Tatizo la usalama wa taifa ni kwamba mtu anapewa kazi eti kwa sababu kachunga ng'ombe za amilijeshi mkuu kwa mda mrefu bila matatizo kwa hiyo anapewa kazi ya usalama wa taifa kama zawadi sasa unategemea nini hapo,wengine bado wana katabia kale kale ka wizi hehehehehehehe haya sasa tujiandae kulipa hizo simu kwa maelfu ya kilogram za dhahabu,tukikataaaa ni kichapo
haya huwa hayazungumzwi hapa. Unaweza kusababisha thread itiwe kitanzi.
 
Uwongo mtupu. Hivi humu JF muna vitoto vya chekechea? JF IMEVAMIWA JAMANIIIII!!!!
 
Back
Top Bottom