Hillary Clinton alizwa simu mbili -Tanzania

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Pengine waweza hisi hadithi lakini ndicho kituko kinachoongelewa kwamba kuna simu mbil za Mhe. Clinton azionekani.

Binafsi nijuavyo hakuna ukweli halisi maana kama zimepigwa naamini uslama nao wamehusika na pia kuna kamera, inayoonyeshwa kila mzigo unapotolewa sasa kwa nini asiende kuangali na badala yake kuanza kutishana waandikiane barua
nafikiri ifike wakati tujithamini wenyewe

Any way tuwaachie wenyewe ..ifike wakati tujipende wenyewe..ni ngumu kuiibiwa mtu kama clinton sijui
wenye upeo na mizigo ya diplomats naomba tusaidiane kwa hilo
 
Acha kusema Tanzania sema Dar es salaam,maana ndipo simu imeibiwa. Nyie watu wa Dar wezi sana hadi mnatia aibu.
 
ukiamini stori hii maana yake kwanza unaamini kuwa mtu akisafiri basi simu yake anaiweka na mizigo mingine (yaani habebi kama hand luggage)....na pili unaamini kuwa mizigo ya clinton haitapita kama diplomatic bag..ambayo mabalozi na viongozi wakubwa hupitia.
 
viongozi wenyewe wamekaa kiwizi wizi tu watakua hao watu wa usalama...hahaaa itakuwa ni iphone 4 kitu 32gb...hina noma najua mida mida kitaingia mitaa ya wanangu pale kwa bakhresa..... hahaaaaa...madenge ushanifahamu lakini??? kitu kikifika nibipu kwa namba yangu ya zantel
 
Kweli wizi ni wizi tu aijalishi unamwibia nani,tulizani hali hii inawatokea abiria wa kawaida tu sekeseke limezuka uko airport
begi ya mh clinton mrs imekutwa imefunguliwa na simu mbili azionekani watu waliokuwepo woote wametangaziwa kuandika report anyway siwezi toa comments ila kwa mimi ningeanza na usalama kwanza...hawa wangejua wapi zilipo maana wakipokea mizigo hawa jamaa wanaangalia mpaka inapoingia kwenye gari zao..anyway tuwaachie wenye

mkweli atajulikana tukumbukane hata usalama nao ni binadamu na wana hamu na wanatamani...

Tatizo la usalama wa taifa ni kwamba mtu anapewa kazi eti kwa sababu kachunga ng'ombe za amilijeshi mkuu kwa mda mrefu bila matatizo kwa hiyo anapewa kazi ya usalama wa taifa kama zawadi

sasa unategemea nini hapo,wengine bado wana katabia kale kale ka wizi hehehehehehehe

haya sasa tujiandae kulipa hizo simu kwa maelfu ya kilogram za dhahabu,tukikataaaa ni kichapo
 
Duh! aibu kubwa! huyu mama kasafiri nchi mbali mbali lakini hili halijawahi kumtokea ila Bongo!!! Mhhhh!

Hao wote walioshughulikia mizigo ya Clinton na waliomo katika msafara wake ningewakamata wote na kuwatia ndani (pamoja na vingunge wao waliopo Airport wakati mizigo hiyo ilipokuwa inashughulikiwa) mpaka warudishe hizo simu.
 
kumbe unajuakitu! afu inamaana hillary anatembea na simu mbili, ya tigo na voda? ukiandika fiction stories inalazimu ufanye utafiti kidogo bwana! na mizigo yake imekuwa checked in kama abiria wa economy class eeeh?
ukiamini stori hii maana yake kwanza unaamini kuwa mtu akisafiri basi simu yake anaiweka na mizigo mingine (yaani habebi kama hand luggage)....na pili unaamini kuwa mizigo ya clinton haitapita kama diplomatic bag..ambayo mabalozi na viongozi wakubwa hupitia.
 
Kweli wizi ni wizi tu aijalishi unamwibia nani,tulizani hali hii inawatokea abiria wa kawaida tu sekeseke limezuka uko airport
begi ya mh clinton mrs imekutwa imefunguliwa na simu mbili azionekani watu waliokuwepo woote wametangaziwa kuandika report anyway siwezi toa comments ila kwa mimi ningeanza na usalama kwanza...hawa wangejua wapi zilipo maana wakipokea mizigo hawa jamaa wanaangalia mpaka inapoingia kwenye gari zao..anyway tuwaachie wenye

mkweli atajulikana tukumbukane hata usalama nao ni binadamu na wana hamu na wanatamani...

Story haina chembe ya ukweli! MODS jukwaa la utani tafadhali
 
ukiamini stori hii maana yake kwanza unaamini kuwa mtu akisafiri basi simu yake anaiweka na mizigo mingine (yaani habebi kama hand luggage)....na pili unaamini kuwa mizigo ya clinton haitapita kama diplomatic bag..ambayo mabalozi na viongozi wakubwa hupitia.

Tatizo kila kitu kwenye maisha unahisi kudanganywa hata ndoa uliokirri mwenye kwenye shida na raha wiki unahisi kuibiwa haya pole sana njoocargo uliza wakusaidie na kinachoendelea sasa wanatuma mwisho kesho saatano na usalama wameombwa waandike maelezeo waliokuwepo ilikuwaje ?

Kaka heshimu muda wa mtu sio wote wanamuda wa kuchezea kwenye comp
 
Back
Top Bottom