Hili tu ndo linanipa wasiwasi.......

I think this is a genuine concern ya muuliza swali, na kwa maini yangu inafaa sana kuwemo humu na majibu anayoyapata ni mazuri. Lile ombi langu lengo lake ni kuwepo na kijijukwaa cha topics pasua kichwa zinazohitaji real thinking na ambazo hajitachakachiliwa.

Si umeona topics zinazofanywa kuwa mabandiko (sticky), tofauti na sasa ambapo bado naweza ingia na kuanza kuchakachua na kumention washikaji wanisaidie, basi hicho kijijukwaa hiyo access iwe limited!

Nafikiri umenipata. We are not of the same age n experience; so watoto walete tu maswali yao na yajibiwe ili wanuafaike na majibu, si kila mzazi yupo open kuomgelea maswala ya mapenzi na mahusiano.

My son will turn 12 next year, l hope akiingia humu apate elimu ya kujenga na si kupotosha! BTW, nippngezeni amemaliza elimu ya msingi jana! Hurrrey!
hongera mwaya!haya nimekusoma mamii!
 
'Actions speak louder than words SURN'. kwa mtazamo wangu jaribu kuangalia kama matendo yake kwako ni mazuri kuliko majina...unataka akuite 'MPENZI' kama ishara ya kuwa anakupenda, je siku amekasirika/mmegombana kidogo/mmepishana kiswahili kidogo akikuita 'MSHENZI' utamlaumu?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom