SnowBall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,054
- 2,840
Namshangaa braza kakomalia maigizo...Aiseee babaangu we jina lako ni surn unataka uitwe mpenzi la nini ungemwambia baba yako akubatize jina la mpenzi ili uitwe ivyo
Mwishowe ataitwa baby mbele ya wanawe..angejua wizi mtupu asingesema aisee..Majina hata kwenye kanga yapo tu, wewe angalia matendo kama yana ukweli ndani yake
Ni kweli mkuu jina ni lile ulilopewa na wazazi wako haya mengine mbwembwe tu..Kama vipi nayeye si amchunie tu amuite jina lake.jina ndo mpango mzima...hayo mengine wizi mtupu......
Kweli bro uliona wapi jina likaliwa ..mradi unampa matumizi na yeye anakupa kipochi manyoya haya mengine potezea tu. Kama vipi Kongosho kaamua kumuita kwa niaba sijui atapenda au mpaka itoke kwa mrs SURNnani kakuambia akikuita mpenzi ndio anakupenda? acha mapenzi ya kwenye sinema
Last edited by a moderator: