hili tatizo inabidi liangaliwe mapema sana tunakoelekea pabaya

Dogo acha ujinga tulioko chuo ndo tunajua maana ya elimu, elimu sio ubinafsi tena izo achia hapa jf usje ukatengwa chuo mdogo wangu kule hamna dvs.
 
ni la kila mwaka vyuo kuongezeka matokeo yake mpaka mtu alikuwa na division 3 ya point 14 eti nayeye anapata chuo.wanasababisha population katika ajira pamoja na kushusha heshima ya degree

we dogo ndio umefikira mpaka mwisho au umejisikia kuandika kabla ya kufikiria?
 
ni la kila mwaka vyuo kuongezeka matokeo yake mpaka mtu alikuwa na division 3 ya point 14 eti nayeye anapata chuo.wanasababisha population katika ajira pamoja na kushusha heshima ya degree

ni nina waswas na elimu yako
 
basi....! basiiiiii.........! he! amesikia amejifunza hatarudia tena.
binafsi hawa wanaojifanya vipanga mara nyingi hawaju kitu huku kwenye maisha ya kawaida (japo sio wote wankuja na mitazamo ya shuleshule na kushindana kuwa wakwanza) na wengi waliolazimisha kuwa wa kwanza ni wabinafsi hivyo kwa mimi naamini kijana atajirekebisha kwani jukwaa hili halipo kwa ajili ya ubinafsi bali ni kufikiria jinsi gani tutakomboana
tumia muda mwingi kosoma wenzako wanaandika nini badala ya kuweka umimi mbele!
 
hivi mwaelewa kuwa kuna Mifumo miwili ya elimu 1.Elimu Rasmi (Formal Education), 2. Elimu isiyo Rasmi (Informal Education). ieleweke kuwa kutokupitia elimu ya madarasani hakumaanishi kuwa huyo mtu hana elimu! issue ni je unaweza kuleta badiliko Chanya kiuchumi, na kijamii ndani ya maisha yako na maisha ya wanajamii wanaokuzunguka!

naamini Tanzania itaendelea pale ambapo wengi wetu watakapohachana na ulevi wa sifa za kusoma sana na ulevi wa madaraka! kwani tumefika sehemu wasomi na viongozi wetu wengi wamelewa na kutaka wahabudiwe! mfn: angalia ulinzi wanaopewa viongozi wetu-tumewachagua sisi kwanini watuogope? nenda vyuo Vikuu usikie DRs na Professors wanavyojigamba!

tunahitaji kubadilika yaani kupata "ukombozi wa kifikra"!


siku zote wajuzi wa mambo huwa haturopoki na kipimo cha mtu kuwa na elimu ni jinsi anavyokabiliana na changamoto zinazo mzunguka na kuzitafutia ufumbuzi yakinifu
hivyo usikariri kichwani kuwa kufaulu darasani ndio kipimo tosha cha kuwa na akili. mfano marangapi tumesikia shule wanazoita ni za

vipaji mbona kuna div4. watu hatufanani kama husoma hujui picha hiyo hapo chini tizama

View attachment 62577
 
Tanzania one wa mwaka 2006 alidisco UDSM GEOLOGY sababu ya kujiona ana division one akafikiri chuo wanaangalia matokeo ya nyuma kumbe wale wana deal na present ability na siyo the past!
 
Ama kweli sasa naelewa kuna mshikaji wangu aliniambia kuwa wakati mwingine matokeo ya necta yanamnyima mtu uwezo wa kufikiria kuwa anatakiwa ajiendeleze yeye kama binadamu yaani anajiona amefikia kikomo.


Mkuu uliyetoa maada hii kasome vitabu kama Poor and rich dad, five secrets u must know b4 u die, Think and grow rich etc uone kwa jinsi kichwa chako kipo tupu.
 
Msome suhas gopinath mambo anayofanya alikuwa average student darasani vile vile kwa mark zuckerberg ceo wa fb
 
Back
Top Bottom