wewe acha kuropoka,wewe unaijua hadhi ya degree????au hujaipa ndo maana unaona ni issue????wewe na hiyo one yako unaweza toka na pass huyo mwenye 3 akawa na first class.acha ubinafsi soma tuone ufaul vizuri wako.ni la kila mwaka vyuo kuongezeka matokeo yake mpaka mtu alikuwa na division 3 ya point 14 eti nayeye anapata chuo.wanasababisha population katika ajira pamoja na kushusha heshima ya degree
wewe acha kuropoka,wewe unaijua hadhi ya degree????au hujaipa ndo maana unaona ni issue????wewe na hiyo one yako unaweza toka na pass huyo mwenye 3 akawa na first class.acha ubinafsi soma tuone ufaul vizuri wako.[/QUOT
cku c nying mungu atakuadhibu ...unajionaaaaa kama vle mtoto wakike kwan we ndo unastaili kusoma au?? acha use....e
KWANZA ONE YAKO HIYO NI YA ST MARY'S UNAIONA ISSUE.ATANIBARIKI SANA TU SABABU NIMEKWAMBIA UKWELI.wewe acha kuropoka,wewe unaijua hadhi ya degree????au hujaipa ndo maana unaona ni issue????wewe na hiyo one yako unaweza toka na pass huyo mwenye 3 akawa na first class.acha ubinafsi soma tuone ufaul vizuri wako.[/QUOT
cku c nying mungu atakuadhibu ...unajionaaaaa kama vle mtoto wakike kwan we ndo unastaili kusoma au?? acha use....e
ni la kila mwaka vyuo kuongezeka matokeo yake mpaka mtu alikuwa na division 3 ya point 14 eti nayeye anapata chuo.wanasababisha population katika ajira pamoja na kushusha heshima ya degree
ni la kila mwaka vyuo kuongezeka matokeo yake mpaka mtu alikuwa na division 3 ya point 14 eti nayeye anapata chuo.wanasababisha population katika ajira pamoja na kushusha heshima ya degree
Principle 2 ni system ya dunia nzima.Tatizo nchi yetu ilichelewa kuwekeza katika elimu ya juu.
Hata hivyo nimegungua wabongo wachche waliokuwa wanahitimu vyuo vikuu walikuwa wanajiona ni watu wa kundi tofauti sana ktk jamii.Tatizo wengi hamjapata exposure kujua mambo ya elimu ya juu yakoje ktk nchi za wenzetu.
Kila kitu kina mwanzo na mwisho.Ukiritimba wa vyuo vichache umepitwa na wakati.

huna kazi mpaka unamfuatilia mwanaume?
ni la kila mwaka vyuo kuongezeka matokeo yake mpaka mtu alikuwa na division 3 ya point 14 eti nayeye anapata chuo.wanasababisha population katika ajira pamoja na kushusha heshima ya degree
sasa mnabishana na ukweli?
siku zote wajuzi wa mambo huwa haturopoki na kipimo cha mtu kuwa na elimu ni jinsi anavyokabiliana na changamoto zinazo mzunguka na kuzitafutia ufumbuzi yakinifu
hivyo usikariri kichwani kuwa kufaulu darasani ndio kipimo tosha cha kuwa na akili mfano marangapi tumesikia shule wanazoita ni za vipaji nako kuna div4 pmoja na div0. kama unaakili timamu kweli utaelewa somo