Hili ni tatizo gani?

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,702
Kuna ndugu yangu anasumbuliwa na maumivu chini ya tumbo sehemu ya kulia. Na hasa tatizo hilo humpata pale anapofanya kazi ngumu. Tatizo huku tuna zahanati isiyo na daktari waliishia kumpa dawa kutuliza maumivu! Kwa wajuzi inaweza ikawa inasababishwa na nini??
 
dah,pole sana. na hata angekuwapo tabibu si ajabu ni yule wa std 7 na darubini iliyokufa! inaweza kuwa vitu vingi,nakushauri umtaftie matibabu walau mkale maisha town,mwisho wa mwezi huu! ni mwanamke ama mwanaume? je maumivu ni sehemu hiyo kila siku,kila mwezi(najarbu kuoanisha na mzunguko wa mwezi kama ni mwanamke)?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom