Hili ni Tatizo gani nisaidieni ili niwe comfortable

florence

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
423
161
Mimi ni bint wa miaka 28 nina shahada ya kwanza, huwa siwez kabisa kuconcentrate mtu anapoongea na kumwelewa kwa haraka, akiwa katikati mie nimeshahamia kwingine kabisa

Mfano kwenye Mikutano eg ya kiofisi, nashtukia tu mtu amemaliza kutoa hoja au kusoma kabrasha na watu wanajadili. Naomba mnisaidie cha kufanya ili nikiepuke sielewi tatizo ni nini vilevile cna comfidence kabisaaaaa nikiambiwa natakiwa nipresent issue flani nahisi moyo unataka kutokea mdomoni unavyopiga kwa nguvu japokuwa ukiniambia kazi ile ile nifanye na kuwasilisha bila kuongea ni nzuri kbs .

Nisaidieni jamani naichukia sana hali hii, najua hapa Jf hakishindikani kitu.

Asanten kwa ushirikiano
 
Pole sana dada tatizo hilo si lako peke yako, wapo wengi sana wakipewa nafasi ya kufanya presentation wanajisikia hiyo hali yako, tatizo ni hofu na kushindwa kujiamini. Sometimes ukipewa karatasi usome mbele za watu ni rahisi kuonekana unatetemeka. Cha msingi ni wewe kujitahidi kufanya presentation nyingi kadri unavyoweza utakuwa una improve katika hilo tatizo na utaona ni kawaida tu. Kuhusu ku loose concentration inaonekana una mambo binafsi unayowaza au kazi unayofanya inakuboa ndo maana huwez ku concetrate katika vikao.
 
Wakati unasoma degree chuoni kwenu mlikuwa hamfanyi seminar presentation?au ulikuwa unajifcha nyuma ya wenzio?je kazi unayofanya sasa unaipenda au upo kwa maslahi binafsi zaidi?ukienda kwenye presentation usiwaangalia watu machoni bali waangalie kwenye paji la uso.
 
umeshapata ushauri mzuri hapo juu,ni hali inatokea kila mtu lakini ukizoea unaona kawaida tu. nakuongezea tips hizi,lakini google how to boost presentation skills itakusaidia.
1 shughulikia confidence yako. suala la kuwa umepata kazi hapo na ulisoma chuo ukamaliza ni ishara kuwa unaweza na uko juu! unaweza kujiaminisha pia hata kwa ku-boost muonekano wako.kuwa smart na comfortable hasa siku una presentation. wahi mapema ili usipanic projector itakapoleta kokoro.
unaweza ku-practice kwa kuongea mbele ya kioo,u will see ur own smile and beautiful face. usisahau kutokuwaangalia watu machoni, angalia mapaji ao ya uso ama nywele ila usivushe!
2 hakikisha u know ur thing. jihakikishie muda wa kutosha wa kupitia presentation yako, na ujue issue unayoiongelea kwa uhakika zaidi.
3 kuwa tayari kujifunza kitu kipya kutoka kwa audience yako. siku zote huwezi kujua kila kitu,na challenge yoyote utakayoipata leo itakufanya kuwa bora zaidi kesho (kama nakuona utakapokua mkurugenzi,lol). kuwa tayari kukiri unapokua hujui kitu, na jaribu kupata jibu kutoka kwa audience.otherwise waahidi kua utafuatilia na utarudisha majibu kama yatahitajika hata kwa email au simu.kudanganya kutakuaibisha lakini kwa kusema ukweli utaonekana muungwana na proffessional
4 get urself interested in pple and what they work on (sorry,u must be a boing self centered person!!). ukimuona mtu anaongea tamani kuufungua ubongo wake uone umejaa nini na kumsikiliza ni cheapest solution. usisahau kutikisa kichwa kila wakati
 
ningekushauri uwaone wataalu wa saikologia inawezekana ukawa una add ambayo ilianza tangu utoto lakini haikugundulika.
 
Pole sana dadangu. hilo ni tatizo la wengi na kila mtu ana namna yake ya kuliondoa. ukiacha matatizo mengine ya kimaisha na misongo ya kimawazo, tatizo kubwa ni kujiamini. Wapo watu ambao nawafahamu imebidi wawe wanajidunga alcohol ili aibu iwatoke hasa wanapofanya presentations, lakini mi sikushauri hivyo.

Cha msingi jifunze kujiamini na ujiandae vizuri kwa presentation. na wakati unafanya presentation usijaribu kufikiria watu wanafikiria nini.
 
unapo present usijisikilize..... ukikosea sema sorry. wengi wanataka kuwa smart hata ajue anaongeaje.
 
Wakati unasoma degree chuoni kwenu mlikuwa hamfanyi seminar presentation?au ulikuwa unajifcha nyuma ya wenzio?je kazi unayofanya sasa unaipenda au upo kwa maslahi binafsi zaidi?ukienda kwenye presentation usiwaangalia watu machoni bali waangalie kwenye paji la uso.
Ni kweli na siko comfortable nayo si unajua sikuizi kazi za tabu especially kwa sisi tusioweza kuongea mbele za watu so interview ni issue. Wangekuwa wanafanya ninterview za kuandika watu kama mimi tungepata kazi tunazozipenda (BAD)
 
umeshapata ushauri mzuri hapo juu,ni hali inatokea kila mtu lakini ukizoea unaona kawaida tu. nakuongezea tips hizi,lakini google how to boost presentation skills itakusaidia.
1 shughulikia confidence yako. suala la kuwa umepata kazi hapo na ulisoma chuo ukamaliza ni ishara kuwa unaweza na uko juu! unaweza kujiaminisha pia hata kwa ku-boost muonekano wako.kuwa smart na comfortable hasa siku una presentation. wahi mapema ili usipanic projector itakapoleta kokoro.
unaweza ku-practice kwa kuongea mbele ya kioo,u will see ur own smile and beautiful face. usisahau kutokuwaangalia watu machoni, angalia mapaji ao ya uso ama nywele ila usivushe!
2 hakikisha u know ur thing. jihakikishie muda wa kutosha wa kupitia presentation yako, na ujue issue unayoiongelea kwa uhakika zaidi.
3 kuwa tayari kujifunza kitu kipya kutoka kwa audience yako. siku zote huwezi kujua kila kitu,na challenge yoyote utakayoipata leo itakufanya kuwa bora zaidi kesho (kama nakuona utakapokua mkurugenzi,lol). kuwa tayari kukiri unapokua hujui kitu, na jaribu kupata jibu kutoka kwa audience.otherwise waahidi kua utafuatilia na utarudisha majibu kama yatahitajika hata kwa email au simu.kudanganya kutakuaibisha lakini kwa kusema ukweli utaonekana muungwana na proffessional
4 get urself interested in pple and what they work on (sorry,u must be a boing self centered person!!). ukimuona mtu anaongea tamani kuufungua ubongo wake uone umejaa nini na kumsikiliza ni cheapest solution. usisahau kutikisa kichwa kila wakati
Woow thank u very very much. Nitafanya hivyo na nitakuwa naleta updates lol.
 
Hilo ni tatizo la liitwalo atention disorder ambapo lina affect Hipocampus na structrures zingine za central nervous system zinazohusika na Memory & learning .

Je umewahi ugua depression?

Waone wataalamu wa Neuropsychology ,NENDA KCMS utampata mmoja.

Unaweza pia ongea na neurologist.

Kama baada ya muda utashindwa kutatua tatizo ntakusaidia.
 
ushauri umepewa mzuri hapo juu kwa kuongezea... jitahidi kuufanyia mazoezi ubongo mfano.. soma novels za kiingereza.... hakikisha huruki page, ukichoka acha na kuendelea unapopata nafasi... nadhani kkwa kufanya hivo ubongo wako mwisho utazoea
 
pole! kwa kuanzia jaribu kuongea mwenye mbele ya kioo jifanye unahutubia watu ,jitahidi kuwa serious, baada ya hapo jaribu kuwafundisha either wadogo zako au waeleweshe majirani au marafiki jambo unalolijua - idadi not less than 2 ppl, endelea kujichaganya na makundi mbali mbali unapojisikia kusema jambo jitahidi kusema bila kuogopa, kwa haya machache 2 unaweza kuongeza kujiamini na uwezo wa kuongea mbele za wa2! naamini utafanikiwa sio tatizo kubwa sana
 
Hi Florence,
Shida lako sio lakipekee ila linatatulika. Pamoja na hayo waliosema hapo juu kuhusu confidence, jaribu haya hapa kuhusu concentration:
- kula vitamins za aina ya omega 3, na matunda mengi hasa zabibu kavu
- cheza michezo za kuongeza concentration kama hizi haa na andika scores zako kila wakati kwa kumonitor progress
http://www.k-state.edu/counseling/topics/career/concentr.html
[url]http://www.lumosity.com/landing_pages/44

- [/URL]Kila ukiwa kwenye mkutao muhimu kua na note pad na andika kila kitu. kama ukipotea, muulize mtu alie karibu yako akwambie speaker kasema nini. na mara kwa mara, kama sio mkutano wa watu wengi (2, 3 or 4) unaweza kurefer kwa notes zako unauliza: so you said this.... and this.... and this... is that correct?
baada ya muda utajionea mabadiliko.
 
Nahisi wew ni m2 wakujitenga sana na wa2 na hata shule ulizosoma inaonekana cyo zile za kinakayumba na hata life lako ulilopitia na unaloishi nahisi ni lakipeke yako peke yako xana.
Ungekuwa ni m2 wakujimix nazan ungekuwa huna tatizo kubwa xana.Hapo hakuna dawa ya vidonge wala miti shamba zaid ya kujitibu mwenyewe kwa kubadili mwenendo wako 2 wa life style.
Inamana hata rafiki wa jinsia tofauti huna na km unaye huwa hamtoki na kujimix??.

Jarib hata kuwa mshabiki wa michezo maana huko utajikuta unaingia kwenye mabishano ya kubishana na hata wa2 kumi kwa mara moja hiyo itakujengea ujasiri kidogo.
 
Back
Top Bottom