Hili ni gonjwa au mazoea mabaya.?

Labda ukifika home uangalie movie za vita au action za xfile ili uondoe mawazo hayo maana kwa mwanaume ni mbaya sana aisee!
imagine unavyoua misuli ya uume wako kwa mkono wako mwenyewe! Nakushauri uoe mke haraka sana miaka 30 inafaa kabisa kuwa na mke.au ishi na mdogo wako ili awe anakukosesha mwanya wa mambo hayo maana utahisi kama atakukuta unafanya hivyo labda itasaidia kwa kiasi fulani

Hivi na waschana hua wanafanya hivyo? Wenyewe hawadhuriki? Au ni wanaume tu.
 
Jamani tusimtukane au kumyanyapaa...!

Mwenzetu amekua wazi na kusema tatizo lake liko wapi...! Ni vyema tukatafuta njia ya kumsaidia ikiwa ni pamoja na mbinu na mawazo ya kumfariji ili aweze kuondokana na tatizo hili...!

Pia, labda atueleze pia kwamba yeye anaishi katika mazingira gani? kuna watu majirani au anafanya kazi ya aina gani? Je mara ya mwisho kufanya mapenzi na mwanamke ilikua lini? Je yuko mbali na mpenzi wake?

Pia ni vyema mkamueleza madhara yatokanayo na kufanya tendo hili...!

Saingine bora afanye hivo kuliko akatembee na mijitu impe gono na magonjwa mengine bure.
 
Ulale na bible kwa kitanda, im sure utapa hofu ya mungu na ataona aibu kufanya hivyo na neno la mungu liko hapo.
 
mmhh antena ya maisha hayata kaa sawa dear
we borea uoe tu ..
maana sasa waweza kufanikiwa halafu
kitu kingine kitokee..

hii ni sawa na ile "Si zai mpaka niwe na uwezo"

we borea uoe tu my dear..
labda kujichua hutaacha lakini utapunguza
kwa kiasi kikubwa sana dear..

kila lakheri
 
Back
Top Bottom