Hili ndio tamko la polisi kuhusu maandamano ya madaktari.

Gumzo

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
211
7
Suleiman-Kova.jpg
.
Baada ya Madaktari kutoa taarifa kwamba wataandamana, Kamanda wa polisi Kanda maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova amesema "mtu yeyote atakaejaribu iwe ni baraza la habari la kiislamu au hawa MAT (Madaktari) wasijaribu kufanya hayo maandamano kwa sababu hatuwezi kuruhusu makosa yatendeke"

Ameweka wazi kwamba "natoa onyo kali wasiandamane kwa sababu maandamano......
KWA HABARI KAMMILI BOFYA HAPA
http://moses-ayoub.blogspot.com/2012/07/hili-ndio-tamko-la-polisi-kuhusu.html
 
Unaboa sana hujui na hizi link zako za blog,kama hutaki kuweka taarifa yote hakuna haja ya kupost
 
Back
Top Bottom