Hili ndio basi la najmunisa lililotekea kwa moto leo morogoro.

Basi litumialo Diesel kuungua kiasi cha kushindwa kutoa mizigo??

Hizi ni Dieal za mamilioni ya Insurance kama zile za miaka ya 1990 na 1980
 
Nimesafiri namabasi ya kampuni hii mara nyingi sana na nilichokishuhudia ni speed ambayo kama roho yako nyepesi si ajabu ukajisaidia nguoni mwanzo mpaka mwisho wa safari,si ajabu injini ilichemka kiasi cha kulipuka na hawakuwa na vifaa vya kuzimia moto..
 
Back
Top Bottom