Elections 2010 Hili Ndilo Neno La Mama Salma

Huyu TandaleOne kama Malaria Sugu vile! yaani wanafikiri kwa umbali wa pua, I doubt his/her level or eductaion and in that matter his/her thinking ability! Maana hapa tunaweza kuwa tunajaribu kumuelewesha mtu kumbe uwezo wake wa kufikiri ni wa Form four ya shule za kata!

HAhahah Jamaa si mjinga ni msomi mzuri tu! Ila yuko hapa kwa kazi maalum kupumbaza watu. Ukweli anaujua ila analipwa
 
Ujumbe umefika.Si bora hii kuliko pumba za magazeti yenu??Eti nawapumbaza,hivi kuna point ipi umetoa??Au thread ya maana zaidi ya udaku??
 
Mama Salma alisema, ujenzi wa shule za sekondari umeongezeka kutoka 1,745 hadi 4,102 katika kipindi cha miaka mitano, jambo ambalo ni mafanikio makubwa, lakini kuna watu wanaojifanya kutoyaona.

Kutokana na kuongezeka kwa shule hizo, alisema idadi ya wanafunzi nayo imeongezeka ambapo uandikishaji wa kidato cha kwanza hadi cha nne ulitoka kuwa wanafunzi 401,598, mwaka 2005, hadi 1,401,559 mwaka 2009.

Mimi naona angesema MAGEREZA YA WATOTO WA WAKULIMA. Nasema hivyo kwa kuwa kwa sasa mtoto wa hohehahe mkulima wa Tanzania hana namna ya kutoka tena pale kijijini kwao! Ameanza darasa la kwanza pale, sekondari pale na sasa wana high school za kata na baadhi ya kata na tarafa kama pale Kibosho wanajenga Chuo cha ufundi. Kijana anafika umri wa miaka 25 hajui kuna kabila fulani wanaishi hivi (sorry sipendi kutumia neno KABILA). Unategemea nini kama sio umemweka gerezani. Hawa vijana hawana waalimu na kama wapo ni walimu 2 au 3 na zaidi hawana ujuzi. Nilikuwa shule moja ya kata nikakuta mwalimu analia eti mwanafunzi kamkorofisha. Nilirudi pale baada ya siku 5 nikaambiwa hataki tena kufundisha na anataka uhamisho. waalimu wenyewe ni watoto ambao hata hawajui mbinu sahihi za kukabiliana na watoto (wanafunzi). Sasa hivi watoto wa wa hawa wakulima hawajui hata kuandika, wacha kusoma. tumeshuhudia kwenye TV leo eti mwalimu anawaonyesha mtihani watoto wa darasa la saba, watoto wote wanafaulu kwenda Sekondari ya kata, hajui kusoma wala kuandika unategemea nini. Hapa tunajali ELIMU BORA au BORA ELIMU? Huyu mama wala asishabikie hilo! Wala asijivunie hilo kwa sababu mzazi mwenye mwamko akijua kama tunavyojua sisi basi mumewe anaweza asiende IKULU ambacho ndicho anachoombea dua usiku na mchana. Mimi pamoja na kubanwa sana enzi za Mwalimu, watoto walikuwa wanafaulu wale kweli ambao walikuwa na uwezo na hawa walikuwa wanapelekwa shule shule mbalimbali Tanzania. Mtoto anaondoka na umri wa miaka 14 ama 15 wakati huo anakutana na msukuma, mmsai, mzigua, mdigo, mpare mzaramo nk. Anatoka Moshi baada ya kumaliza O level anajua nikienda Morogoro kuna jamaa nilikuwa naye pale KIBAHA, chain inaanzia hapo. Hawa wa sasa ukimtuma Moshi mjini anakuuliza ndo wapi huko?. SHULE ZA KATA MWALIMU SALMA SIO ZA KUJIVUNIA! CHEZA KARATA NYINGINE
 
u gat a point?? kuna uongo hapo, au na yeye anpewa takwimu za uongo kama mume wake??????????

Mwambie Dr.Slaa akutafutie takwimu za kweli.[/QUOTE]

Mkuu Tanda.. Ina maana na wewe unabishana na takwimu za NECTA?
 
Ndugu yangu Tandale one, hizo shule JK kazijenga lini na hao waliosoma wamefika UDSM lini? Umeshauona huo mpango wa MMES wenyewe, plan yake na implementation yake? Umeshasoma evaluation report ya hiyo MMES? Be careful my friend jaribu kuongea kwa Data.

MMES ni mpango wa Mkapa wa mwaka 2004, wakati huu mipango ilikuwa ni kuongeza shule kidogo kidogo kila mwaka kulingana na uwezo wa serikali. Shule zilizodahili wanafunzi mwaka 2005 chini ya serikali ya Mkapa, zilikuwa na walimu wa kutosha kiasi na atleast wanafunzi kadhaa waliweza kuendelea na masomo ya A-level kutoka katika hizi shule mwaka 2008. Mwaka 2006/7, ndipo akina Lowassa wakaja na mkakati wa kujenga tu majengo yasiyokuwa na idadi ambayo hayakuendana na uwezo wa serikali kusomesha walimu na kununua vifaa vya kufundishia. Ndipo ikaja idea ya voda fasta, ambayo haikuwa na mafanikio. Wanafunzi wale ambao walisoma katika mfumo wa elimu wa akina Lowasa na Kikwete (kuanzia 2006) ndio hao waliomaliza form four mwaka jana ambao bado hawajafika chuo kikuu.

Sasa wewe unaongelea wanafunzi gani walioko UDSM chini ya MMES ya Lowassa na Kikwete? Au wao wamefuata mfumo gani wa Elimu? Wamemaliza form four na kuingia UDSM?

Tanda hajui hata MMES ni nini?
Hajui EL & JK 2006 walidharau Mkapa alichofanya na kujenga ki-holela shule sizizo na samani, vitabu, maabara na vifaa vyake; halafu leo wanatupa mafanikio kwa idadi tu!!!
 
TANDALE ONE ni MS kabisa bila kificho anaogopa kivuri chake huyu
 
Tanda hajui hata MMES ni nini?
Hajui EL & JK 2006 walidharau Mkapa alichofanya na kujenga ki-holela shule sizizo na samani, vitabu, maabara na vifaa vyake; halafu leo wanatupa mafanikio kwa idadi tu!!!

Narudia tena swali.Vijana wangapi wamefika chuo kikuu kutoka shule hizo hizo mnazozipinga kwa sababu zenu???
 
HAhahah Jamaa si mjinga ni msomi mzuri tu! Ila yuko hapa kwa kazi maalum kupumbaza watu. Ukweli anaujua ila analipwa
Kumbe Akina MS,TO ana kazi maalumu ya kuwatengenezea njia mafisadi na analipwa na mafisadi ?Ndio maana ana bidii sana na kazi yake.Lakini malipo mengine anayostahili atayapata hapahapa duniani au huko kwenye haki..........
 
Narudia tena swali.Vijana wangapi wamefika chuo kikuu kutoka shule hizo hizo mnazozipinga kwa sababu zenu???
Chuo kikuu kipi au hivyo hivyo vinavyozua mijadala mingine.Na kwa taarifa yako wengi wanaenda chuo ni juhudi zao binafsi....
 
Mama Salma alisema, ujenzi wa shule za sekondari umeongezeka kutoka 1,745 hadi 4,102 katika kipindi cha miaka mitano, jambo ambalo ni mafanikio makubwa, lakini kuna watu wanaojifanya kutoyaona.

Kutokana na kuongezeka kwa shule hizo, alisema idadi ya wanafunzi nayo imeongezeka ambapo uandikishaji wa kidato cha kwanza hadi cha nne ulitoka kuwa wanafunzi 401,598, mwaka 2005, hadi 1,401,559 mwaka 2009.

Mimi naona angesema MAGEREZA YA WATOTO WA WAKULIMA. Nasema hivyo kwa kuwa kwa sasa mtoto wa hohehahe mkulima wa Tanzania hana namna ya kutoka tena pale kijijini kwao! Ameanza darasa la kwanza pale, sekondari pale na sasa wana high school za kata na baadhi ya kata na tarafa kama pale Kibosho wanajenga Chuo cha ufundi. Kijana anafika umri wa miaka 25 hajui kuna kabila fulani wanaishi hivi (sorry sipendi kutumia neno KABILA). Unategemea nini kama sio umemweka gerezani. Hawa vijana hawana waalimu na kama wapo ni walimu 2 au 3 na zaidi hawana ujuzi. Nilikuwa shule moja ya kata nikakuta mwalimu analia eti mwanafunzi kamkorofisha. Nilirudi pale baada ya siku 5 nikaambiwa hataki tena kufundisha na anataka uhamisho. waalimu wenyewe ni watoto ambao hata hawajui mbinu sahihi za kukabiliana na watoto (wanafunzi). Sasa hivi watoto wa wa hawa wakulima hawajui hata kuandika, wacha kusoma. tumeshuhudia kwenye TV leo eti mwalimu anawaonyesha mtihani watoto wa darasa la saba, watoto wote wanafaulu kwenda Sekondari ya kata, hajui kusoma wala kuandika unategemea nini. Hapa tunajali ELIMU BORA au BORA ELIMU? Huyu mama wala asishabikie hilo! Wala asijivunie hilo kwa sababu mzazi mwenye mwamko akijua kama tunavyojua sisi basi mumewe anaweza asiende IKULU ambacho ndicho anachoombea dua usiku na mchana. Mimi pamoja na kubanwa sana enzi za Mwalimu, watoto walikuwa wanafaulu wale kweli ambao walikuwa na uwezo na hawa walikuwa wanapelekwa shule shule mbalimbali Tanzania. Mtoto anaondoka na umri wa miaka 14 ama 15 wakati huo anakutana na msukuma, mmsai, mzigua, mdigo, mpare mzaramo nk. Anatoka Moshi baada ya kumaliza O level anajua nikienda Morogoro kuna jamaa nilikuwa naye pale KIBAHA, chain inaanzia hapo. Hawa wa sasa ukimtuma Moshi mjini anakuuliza ndo wapi huko?. SHULE ZA KATA MWALIMU SALMA SIO ZA KUJIVUNIA! CHEZA KARATA NYINGINE

Kuna hao unaowatukana sasa vyuo vikuu toka shule za kata.wanakusikia.
 
Chuo kikuu kipi au hivyo hivyo vinavyozua mijadala mingine.Na kwa taarifa yako wengi wanaenda chuo ni juhudi zao binafsi....

Juhudi binafi walizifanyia wapi kama si walipata nafasi ya kuwa enrolled.Mbona unakuwa mnafiki??Weka mlolongo mzima wazi.
 
Kumbe Akina MS,TO ana kazi maalumu ya kuwatengenezea njia mafisadi na analipwa na mafisadi ?Ndio maana ana bidii sana na kazi yake.Lakini malipo mengine anayostahili atayapata hapahapa duniani au huko kwenye haki..........

Abracadabra:kuna mamode wa forums flan flan si JF wanaunga foleni ofisini kwa jamaa kupewa laptop na modem.TAKUKURU wana tabu.Dammit.Naona na mimi umeanza kuniona ndugu yako.Si tunaona kwa wengine kile tuwazacho na kufanya?
 
Kumbe Akina MS,TO ana kazi maalumu ya kuwatengenezea njia mafisadi na analipwa na mafisadi ?Ndio maana ana bidii sana na kazi yake.Lakini malipo mengine anayostahili atayapata hapahapa duniani au huko kwenye haki..........

Wazee wa August 2010 baada ya Oct 31 hutakaa owaone
 
Back
Top Bottom