hili liwe fundisho kwetu kina dada/mama/bibi hata kwa baadhi ya kina kaka/baba.

Hapo dada nadhani chumvi umezidisha kidogo. Ni vigumu kujua kama kweli usingizi hawapati. Wewe sema tu wanalitamani tundi la Cheusi!

:whistle::whistle::whistle::whistle:

wee bisha tu ombea usinione.tena omba sana maana utauita usingizi na usingizi utakukimbia,utatamani kuniona tena lkn hutaniona, amini amini nakuambia,cheusimangala is the rare case.:biggrin1:
 
nikikueleza hali halisi utadhani najifagilia bure na wala hutaamini ,sikilize nikwambie,yaani mie sio kusifiwa tu ,watu kibao hawapati hata usingizi kwa ajili yangu mie cheusidawa,weupe kitu gani bwana.!!:whistle::biggrin1:

haha jamani mbavu zangu haha msinichekeshe mimi haa.
usikute cheusi ni kibibi kifupiii kikomavuu hata ukikimwagia asali yote inafyonzwa na bado kinabaki kimepauka ka kimemwagiwa unga na ukikiona unakosa usingizi kwa kuandamwa na ndoto za mauza uza.:biggrin1:(joking,nakutania tu cheusi).
nimependa makonfidensi yako :A S thumbs_up::A S thumbs_up::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
:whistle::whistle::whistle::whistle:

wee bisha tu ombea usinione.tena omba sana maana utauita usingizi na usingizi utakukimbia,utatamani kuniona tena lkn hutaniona, amini amini nakuambia,cheusimangala is the rare case.:biggrin1:

Safi sana Cheus, usipojifagilia nani ataweza kufanya hivyo.

Ila naona hujasoma hapo chini....Yaani toka 1947 hadi leo bado ninaweza kukosa usingizi? Labda wajukuu wakiamua kunitania tania tu!!
 
nimesoma na nimeelewa lkn haijalishi una umri gani cha msingi uwe na macho yanayoona.
 
nikikueleza hali halisi utadhani najifagilia bure na wala hutaamini ,sikilize nikwambie,yaani mie sio kusifiwa tu ,watu kibao hawapati hata usingizi kwa ajili yangu mie cheusidawa,weupe kitu gani bwana.!!:whistle::biggrin1:

Thats big deal, naimagine na unatural wako ulivyo mrembo Cheusi Mungu akuzidishe ung'ae zaidi na zaidi.Nimemuonea huruma sana, wanawake tunahitaji kujikubali vile tulivyo hata hao wanaume nadhani wanapenda natural.Otherwise, Naipenda signature yako:A S thumbs_up:
 
:A S thumbs_up:
 
nimesoma na nimeelewa lkn haijalishi una umri gani cha msingi uwe na macho yanayoona.

Sawa sawa mdogo wangu,

Ila ujue hiyo miaka maana yake tumeona usiku mara nyigi na mchana mara nyingi zaidi. Kwa hiyo kama kuna rangi sijaona basi tena hiyo labda haipo duniani.

Hata hivyo kucheza na wajukuu kunaruhusiwa tu kwani hata wakikurushia mnofu wewe unautazama tu, kwa kuwa meno kwishnei! Macho yataona, moyo utatamani, mate yatandodoka lakini meno ya kutafunia hakuna....kwa hiyo unapanda kitanda na usingizi utakuwa pale pale. Wenzio wa dot com ngoja wao waendelee kuhesabu mabati hadi jogoo awike.
 
Mbona mmeondoa comment yangu? Mngeondoa kipande msichokitaka mkaacha ushauri.
 
Ni nini tena Cheusi?

kuna mtu aliandika coment ya matusi ile mbaya hadi nikahisi alikua amelewa wkt anaandika bahati nzuri mods wameitoa.hivi watu wakiandika lugha za kiporn porn ktk kila jukwaa patakalika kweli.kuna lile jukwaa lao la kiutu uzima lkn sasa nashngaa mtu akiparamia kila jukwaa na lugha za ki X-rated.wengine hatufurahishwi na lugha za matusi!:angry::angry:
 
Pole ndugu,

Unajua nilitishika hadi nikakaribia kusoma maandishi yangu yooote...

Usijali, sie tuliokula viroba vingi vya chumvi tumeyaona mengi pia....Dunia ina kila aina ya kiumbe...

Ni bora kufurahia yote na kumshukuru muumba, ila ikibidi unamshagaa pia kwamba aliwaza nini wakati anaumba hata hiki?
 
kuna mtu aliandika coment ya matusi ile mbaya hadi nikahisi alikua amelewa wkt anaandika bahati nzuri mods wameitoa.hivi watu wakiandika lugha za kiporn porn ktk kila jukwaa patakalika kweli.kuna lile jukwaa lao la kiutu uzima lkn sasa nashngaa mtu akiparamia kila jukwaa na lugha za ki X-rated.wengine hatufurahishwi na lugha za matusi!:angry::angry:

Pole Cheusi wangu, hapa wanaingia watu wa kila namna na tunatofautiana pia,thank God mods wamehamisha.Napenda uwe na amani swit
Blessings
 
watoa ushauri tumefikia kikomo, asubiri kuvuna alichopanda. anyway she can start an NGO to advise her fellow women not to medicate their skin!
Mungu atamsaidi.
 
Back
Top Bottom