hili linaweza kuwa fundisho kwa wasanii wa kike wa kiswahili

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,711
4,641
[h=3]Omotola and husand celebrate 16 years of marriage[/h]

The star actress wed her pilot husband Mathew Ekeinde exactly today (March 23 1996) 16 years ago at the Ikeja registry. Their white wedding held in April 2001. Wishing them many more fruitful and happy years ahead.

sasa wasanii wa kiTz muendelee kujichafua na kashfa fanali uzeeni,
source lindaikeji blog
 
Tazama kazi ya mumewe Omotola kisha ,linganisha na kazi za waume wa mastaa wetu wanaotaka maisha ya juu kwa pesa za msimu za mabwana wao kisha utapata jibu ni kwa nini mastaa wetu hawadumu katika ndoa/mahusiano na kipi wajifunze hapo.
 
Back
Top Bottom