Hili Lina Utata

ha ha ha

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
638
84
Wana JF ebu nisaidieni hili, ni kweli mapenzi yanaagalia umri?kwa kiwango gani?
 
Eeh lazima yaangalie umri.Sasa binti wa miaka 24 niolewe na babu wa miaka 36!KIsa?Pesa?samahani kaka hata ngozi inakuwa imepoteza mvuto.Angalau miaka 5 mwisho mpenzi kunipita!
 
Eeh lazima yaangalie umri.Sasa binti wa miaka 24 niolewe na babu wa miaka 36!KIsa?Pesa?samahani kaka hata ngozi inakuwa imepoteza mvuto.Angalau miaka 5 mwisho mpenzi kunipita!

Hizi ndizo thread zako! Lol age is nothing but a number! Sisi wazee twende wapi?
 
Hizi ndizo thread zako! Lol age is nothing but a number! Sisi wazee twende wapi?

Naungana mkono na wewe mkuu,age is nothing but a number na iko mifano hai, ila suala hili pia linategemea na maamuzi binafsi ila halina fomula.
 
Life starts at 40yrs hapo nna uhakika wa mshiko, so najichukulia totoz 18- 21 yrs kula maisha,
mademu kuanzia 24+yrs washachakachuliwa balaa
 
Life starts at 40yrs hapo nna uhakika wa mshiko, so najichukulia totoz 18- 21 yrs kula maisha,
mademu kuanzia 24+yrs washachakachuliwa balaa

24+ mileage imetembea vibaya mno! Ukihesabu mabao unaweza usioe. Quoted from Ta muganyizi.
 
Relationship nyingi ambazo kumekuwa na big age difference ndizo ambazo zimelast na zimejaa furaha. This applies both ways. Hata mwanamume awezo owa manamke mkubwa kwa umri. Na siku zote hao ndiyo wata enjoy love life. Isipokuwa kama mmoja wao amefanya hivyo kwa manufaa fulani. Nina rafiki yangu ameowa mwanamke mkubwa kuliko yeye na furaha waliyokuwa nayo home; I envy them.
 
Wana JF ebu nisaidieni hili, ni kweli mapenzi yanaagalia umri?kwa kiwango gani?

Ni kweli mapenzi yanaangalia umri na kuna sababu nyingi ambazo zinapelekea hali hiyo ila inahsauriwa mwanaume amzidi mwanamke umri walau kuanzia miaka 3
 
Mi nadhani umitofautiana age kwa miaka 5-10 kunakuwa na heshima sana. Ila mkikaribiana sana utoto mwingi sana nionavyo mimi
 
Mi nadhani mkitofautiana age kwa miaka 5-10 kunakuwa na heshima sana. Ila mkikaribiana sana utoto mwingi sana nionavyo mimi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom