Hili la 'Ustawi wa Jamii' lipo sawa jamani??

kibaranchia

Member
Jun 11, 2011
11
0
wana fj tushirikiane kuhusu hili..wiki mili zilizopita chuo cha ustawi wa jamii kilifungwa na serikal kwa muda uliojulikana kutokana na mgomo wa haadhiri,chakushangaza pamija na kuwa ni mgomo wa wahadhiri wanafunzi wanakuwa ndio waadhirika wakuu kwa maana ya kufukuzwa katika hosteli za chuo na kutakiwa kutonekana eneo la chuo..lakini wakati huo wote waliogoma yaani walimu wanaendelea kuingia na kutoka jee hii ni sawa??Habari leo gazeti la jana limemnukuu mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi akidai chuo kufunguliwa tarehe 22 lakini sababu za mbgogoro uliopo hazija shughulikiwa kwa muda wote kilipofungwa na wahadhiri wamesema hawapo tayari kurejea kazini>>hii wizara ya afya kwa nini inawalinda management ambayo hata NACTE wamesema haikizi vigezo??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom