Hili la Masanja Mkandamizaji Kugeukia Muziki wa Injili Nalo si "Usanii"!!!???

Wakristo hasa wapentekoste tumeshalewa muzik wa injili,m2 akijiita ameokoka tu na anaimba anaitwa kuhubiri,hivi toka lini injili Ya Mizaha kama ya Masanja ikawa mziki wa injili?ile ni Bongo fleva ktk maneno ya Injili.
 
Huyu ni tapeli wa kiroho.Wala hajaokoko.
Awali mkandamizaji alikua anaimba muziki wa injili kwa kujiiba-iba lakini inavyoonekana sasa baada ya kutemwa TBC Kimkataba MM ameamua kujikita mazima, huku ikionekana kabisa yuko kibiashara zaidi kwa jinsi nilivyomuona akitumbuiza Tanga kupitia TBC

Sijui wanajamvi mnasemaje....
 
sasa afanye nini!! ndo yake na manjy ndo hivyo tena keshaachika...........
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom